Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatimaye Arsenal wanaanza kuonyesha rangi yao ya asili sasa............no consistence at all
Sitaki kifikiria na game ya Chelsea aghrrrrrrrrrrrrrrr

Teh Teh Teh Teh
Hali ni mbaya sn Kwa lango la watoto
 
Mnao angalia mpira live kunadalili kweli za haya magoli kurudishwa na Arsenal au kuna hatari ya kuongezwa
Presha ipo juu bora hata sipo karibu na luninga
 
Haya kijana jiandae nawe kwa kipigo baadae.
Ndoto za asubui hizo

Hali ni mbaya golini mwa Watoto!! Jamani namuona kipa Wa Watoto tu uwanjani!

Nauliza hiviOzil yuko wapi? Haonekani kabisa uwanjani!

Na kuanzia Leo sitaki tena mtusumbue mitaani Eti Ozil na sauti mnalegeza Ozil
City 5
Watoto 2
 
Mnao angalia mpira live kunadalili kweli za haya magoli kurudishwa na Arsenal au kuna hatari ya kuongezwa
Presha ipo juu bora hata sipo karibu na luninga
Tano mkuu na mpira ndio hivyo tena, pumzika tu.
 
Kwa Mara nyingine tena ile timu ya watoto Au km wajulikanavyo wapotezaji Leo tena watakua uwanjani Etihad kukamirisha ratiba Yao ya upotezaji chini ya Kiongozi wao Wa uchumi!

Mashabiki Wa Watoto kaeni mkao Wa Presha!

Asante

===========
UPDATES:

Dk 13: Man City 1 - 0 Arsenal (Aguero)

Dk 31: Man City 1 - 1 Arsenal (Walcott)

Dk 38: Man City 2 - 1 Arsenal (Negredo)

Dk 50: Man City 3 - 1 Arsenal (Fernandinho)

Dk 62: Man City 3 - 2 Arsenal (Walcott)

Dk 65: Man City 4 - 2 Arsenal (Navas)

Dk 85: Man City 5 - 2 Arsenal (Fernandinho)
Wacha nichekeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mashabiki wa Gunners Mbu na wengineo!?
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa Gunners Mbu na wengineo!?

Kaka hata najua basi?
Nilidhani browser zangu leo zimenigomea.

Ipo siku niliutafuta uzi wa Chelsea bila mafanikio.

Whats going on?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom