Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndoto za asubui hizo

Hali ni mbaya golini mwa Watoto!! Jamani namuona kipa Wa Watoto tu uwanjani!

Nauliza hiviOzil yuko wapi? Haonekani kabisa uwanjani!

Na kuanzia Leo sitaki tena mtusumbue mitaani Eti Ozil na sauti mnalegeza Ozil
City 5
Watoto 2
Piga hao washika ukuta wa london mpaka waone nyota maana mtaani kelele zimezidi. Nyampafffffffff
 
Safi sana 6-3 arsenal chili...na bado mkikutana na Chelsea tena kipigo
 
Wacha nichekeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Matokeo kama haya yalinifanya niitose 'aseno', nilijiuliza kwa nini nakosa raha kwa timu ya mzungu, nashindwa kula na kulala!: bila shaka hata leo kuna watu watafuata nyayo zangu.
 
.....6-3 final score.
Expected results?....

Mnh, ..... So-so!
Man City wana Quality striking power!
Acha nasi tutapata wanyonge wetu wa kuwapiga goli moja moja....
 
Mimi nimeshangaa sana Mku Mbu, nilitaka kuandika kitu na kukuta umefungwa nilipoangalia nyuzi za MANU, MANC, L'pool na Chelsea zote zipo, hakuna sababu yeyote ya muhimu ya kuufunga uzi ule, kama ipo basi tuelezwe vinginevyo ufunguliwe haraka sana. Yaani hii ya kufungwa 6-3 haikunikosesha raha kama kufungwa kwa uzi.

Kaka hata najua basi?
Nilidhani browser zangu leo zimenigomea.

Ipo siku niliutafuta uzi wa Chelsea bila mafanikio.

Whats going on?
 
Last edited by a moderator:
nakubali leo tumefungwa na hongera Man city kwa ushindi
lakini mambo mengi ngoja nipitishe siku kutafakari kabla ya kupata mawazo kamili
 
Leo tumeonyesha ubovu wa ngome yetu ambayo bado ina mianya mingi sana inayostahili kuzibwa. Huu udikteta wa kuamua kufunga uzi bila sababu za kueleweka sasa umefikia mahali pabaya sana.

.....6-3 final score.
Expected results?....

Mnh, ..... So-so!
Man City wana Quality striking power!
Acha nasi tutapata wanyonge wetu wa kuwapiga goli moja moja....
 
Jamani km kawaida ngoma ya watoto haikeshiiiiiiii!

Goma limekwisha

Man city 6

Arsenal 3

Muda si mrefu tutaelekeza macho yetu Kwa mabingwa Wa kwanza Wa Ulaya London Yani matajiri wakiwa Darajani kugawa dozi nzito dhidi ya vibnde!

Sasa watoto Wa Wenger mfufua vipaji wanaongoza Kwa tofauti ya poin 2!

Mpaka January watakua nafasi ya 3
 
Mimi nimeshangaa sana Mku Mbu, nilitaka kuandika kitu na kukuta umefungwa nilipoangalia nyuzi za MANU, MANC, L'pool na Chelsea zote zipo, hakuna sababu yeyote ya muhimu ya kuufunga uzi ule, kama ipo basi tuelezwe vinginevyo ufunguliwe haraka sana. Yaani hii ya kufungwa 6-3 haikunikosesha raha kama kufungwa kwa uzi.

Duhhhhh....!?
Umefunguliwa baada ya final score!
Kaka BAK, acha nijikalie kimya mie..
Nisijekiuka masharti na kanuni za JF.

Nice Day bro, nawapisha kina
#Mburukenge nao waje kutamba humu.
 
Last edited by a moderator:
Sio mbaya sana, mcheza kwao hutuzwa....na Arsenal bado wapo kileleni.
 
Matokeo kama haya yalinifanya niitose 'aseno', nilijiuliza kwa nini nakosa raha kwa timu ya mzungu, nashindwa kula na kulala!: bila shaka hata leo kuna watu watafuata nyayo zangu.
Unanikusha wale wakikuyu (kama sikosei ni msimu wa 2011-2012) walipo amua kuharakisha safari yao ya kurudi kwa baba. Sintashangaa nikisia na leo yamejirudia
 
Back
Top Bottom