Pasua kabisaa ikibidi chinja tu, maana mtaani hapanogi kwa kelele zao, poshà
Duhhhhh....!?
Umefunguliwa baada ya final score!
Kaka BAK, acha nijikalie kimya mie..
Nisijekiuka masharti na kanuni za JF.
Nice Day bro, nawapisha kina
#Mburukenge nao waje kutamba humu.
Mbu
Leo Mburukenge wengi watakuja hapa lakini ndio mpira nilisema mwanzo ligi ya safari hii ni ngumu sana
Coach wa Man City anastahili pongezi sio Mancini
Mie nilikuta umepigwa mstari mwekundu kwenye title, nikasepa kimya kimya.
Mkuu..... Kuna wenzetu walkuwa na access na walikuwa wanatiririka kama kawa.....
Waache #Mburukenge waoshe vinywa leo. Watashuka sasa hivi hapa mtaani.
Huyo Mod aliyefunga uzi lazima atakuwa ni gunner.
Atakuwa aliangalia mechi kwenye karai.