Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,925
Nakupa mechi ya Leo na ya Chelsea na Newcastle lazima upoteze! Nafasi ya 3 ni yako baba kuanzia Leo!
Naam! Arsenal Au watoto wanapoteza beki wao mahiri Kwa kuumia na Kutoka nje na linabaki lile beki refuuuuuuuuuuuuu kweli Yani Jerumani! Metusaka!!
Hatoki mtu katika nafasi ya kwanza....