Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Last edited by a moderator:
Jukwaa la Michezo linavamiwa sasa.... Ni kama ilivyokuwa Jukwaa la Siasa



Acha hizo weye!

Nasema hivi Leo unapigwa na Chelsea next game tunakupiga na newcastle wanakuchapa!

Yank mpk Jan Uko nafasi ya 3
Na Leo Nataka kupinga na Mods km haitokua hivi mnipe Ribannnnnn la Mwaka mzima!



Nam nam!
Watoto wanakosa nafasi 3 za wazi wanatetemeka miguu mbele ya beki mahiri Vicent Komponi
 
Mko wp mashapibiki Wa Watoto Au Presha?

Siwaoni jukwaani

Arsenal 2

Na city 3
 
Naam! Naam naam! Siwezi kusimulia! Lkn lile jahazi la washika bunduki linazidi kuzama!
Hali ni mbaya!

Kwi Kwi Kwi!
 
Kazi tunaye leo washika Bunduki ila hata Yanga iliwahi kutangulia kwa 3-0 dhidi ya Simba mwisho ikawa 3-3
 
Hatimaye Arsenal wanaanza kuonyesha rangi yao ya asili sasa............no consistence at all
Sitaki kifikiria na game ya Chelsea aghrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom