Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Ndoto za asubui hizoHaya kijana jiandae nawe kwa kipigo baadae.
Tano mkuu na mpira ndio hivyo tena, pumzika tu.Mnao angalia mpira live kunadalili kweli za haya magoli kurudishwa na Arsenal au kuna hatari ya kuongezwa
Presha ipo juu bora hata sipo karibu na luninga
Wacha nichekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKwa Mara nyingine tena ile timu ya watoto Au km wajulikanavyo wapotezaji Leo tena watakua uwanjani Etihad kukamirisha ratiba Yao ya upotezaji chini ya Kiongozi wao Wa uchumi!
Mashabiki Wa Watoto kaeni mkao Wa Presha!
Asante
===========
UPDATES:
Dk 13: Man City 1 - 0 Arsenal (Aguero)
Dk 31: Man City 1 - 1 Arsenal (Walcott)
Dk 38: Man City 2 - 1 Arsenal (Negredo)
Dk 50: Man City 3 - 1 Arsenal (Fernandinho)
Dk 62: Man City 3 - 2 Arsenal (Walcott)
Dk 65: Man City 4 - 2 Arsenal (Navas)
Dk 85: Man City 5 - 2 Arsenal (Fernandinho)
Nipo kaka,
They were good than us.
Piga hao washika ukuta wa london mpaka waone nyota maana mtaani kelele zimezidi. NyampafffffffffNdoto za asubui hizo
Hali ni mbaya golini mwa Watoto!! Jamani namuona kipa Wa Watoto tu uwanjani!
Nauliza hiviOzil yuko wapi? Haonekani kabisa uwanjani!
Na kuanzia Leo sitaki tena mtusumbue mitaani Eti Ozil na sauti mnalegeza Ozil
City 5
Watoto 2
Pasua kabisaa ikibidi chinja tu, maana mtaani hapanogi kwa kelele zao, poshàPenaltiiii
Vipi washika ukuta wa london, mbona siwaelewi?