Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Kadi ni kwa wachezaji wa Gunners tu matokeo ya leo umeyaona ni sawa na Chelsick walivyozawadiwa .... .... goli la matuta.
Ametoa kadi sasa baada ya Rooney kumchezea rafu Aaron Ramsey.
Kadi ni kwa wachezaji wa Gunners tu matokeo ya leo umeyaona ni sawa na Chelsick walivyozawadiwa .... .... goli la matuta.
Refa kaharibu mpira ... .... ..... walikuwa wanawewesekaweweseka sana .... ...... .... .ati refa anaongeza dakika tatu tu haya bana tutakutana Emirates ... .... ...
Sina hofu na nyinyi,nyie ni kanawaka kanazima!halafu usikariri,majirani zako ni man city sio arsenal .Kufungwa si kuzuri,hata Astoni villa walitubahatisha kihivihivi na tukaja bounce back vizuri tu.Poleni sana majirani taratiiibu heshima inaanza kurudi mjini wenye kikombe tunakuja taratibu lakini kwa uhakika.