Kwa sasa tunaweza kusema kwamba mchezo ni 50-50
nakubaliana na wewe
Kwa sasa tunaweza kusema kwamba mchezo ni 50-50
Naona leo wametoa mpunga mapema Giroud yellow .... .....
Ni kweli kama itakuwa ni kwa sababu ya matokeo ya Chelsea na Man City.
Lakini kwa ajili ya kutafuta maximum points inabidi Arsenal tushinde hii mechi.
1 down Judas
Sizani Kama pengo ni Huyo pengo ni rocisky tatizo la Arsenal wakimchezewa buti haichezi mpira united wamekuja na speed na Mabavu yakuwapiga na viatu Arsenal wanatakiwa speed na kujiamini ndio watawafunga hii Mishetani mekundu, Rocisky huwa anatowa Pasi haraka na kwenda speed Arsenal wanaogopa viatu.Ni pengo la Mertesacker linajionyesha wazi.
Angepata Babu yake angekuwepo kwenye chake!Wine Romney analilia penalty hapa .. ... .