Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

siku mkiwapumzisha ozil, ramsey, carzola mmekwisha. msijaribu hata siku moja.
 
Kuwafunga Arsenal sisi hatubahatishi ,kocha wenu Wenger anajua hilo ndio maana alivaa lile jacket lake ambalo akilivaa ujue Arsenal anafungwa
Belo ulichofikiria Kumbe na Mie ndio nilivhokifikiria Wenger kaaanza kuvaa kanzu zake za winter bora angebaki na suti yake ya Mr Bean ila Arsenal walikosa ma winger na Rocisky wangeshinda Arsenal, kengine United wakicheza na Arsenal wanawapatia kati kupiga viatu na ubavu na kwenda speed ukiwaacha wacheze mpira wa gonga mtachoka , mpira wa United ni gombania goli hasa Kama Nani na Valencia wapo kwenye fomu nzuri na Evra akipanda huku Silva hapo ndipo pakuiogopa United inamsaidia Carrick kutulia, zaidi ya hapo Arsenal walikosa wingers na bench halikuwa Zuri. United washazoea kwa kujua game mwisho May! Wengine tunatakiwa tujifunze kwao united japo tunawachukia.
 
Manchester-United-v-Arsenal-Premier-League-2717731.jpg
 
Mfarisayo Kumbe upo hai naona hii siku uliipania duh! hospitali umetoka lini tumekumiss jukwaa la Kops Kule.
 
Back
Top Bottom