Manu wamejitahidi kuziba mapengo yaliyojitokeza kwenye gemu zilizopita lakini nasi tulikubali kuufuata mchezo wao
Hongereni
Nilisema mwanzo ligi ya safari hii ni ngumu bado siwezi kutabiri kama Manu wanaweza kulikwaa kombe wanacheza zaidi kwa kukamia timu sio kwa ligi nzima, nasikia AF amerudi kwa mlango wa nyuma kwa gemu ya leo kwani ingelikuwa matokeo mengine basi sokomoko lazima ingelitokea pale OT

fergie bado yupo united,hata akitaka kukaa ktk bench la ufundi anaruhusiwa,haondoki mpaka afe
Sina hofu na nyinyi,nyie ni kanawaka kanazima!halafu usikariri,majirani zako ni man city sio arsenal .Kufungwa si kuzuri,hata Astoni villa walitubahatisha kihivihivi na tukaja bounce back vizuri tu.
Hongera kwa Man Utd kwa kushinda lakini badio tunaongoza ligi na 2 points na Man Utd wapo nyuma yetu kwa 5 points..
Arsenal leo wameonyesha wamechoka sana hasa Cazorla na Giroud ambae amekuwa akicheza kule mbele peke yake msimu mzima.
Arsene Wenger itabidi asajili mshambuliaji mwingine ifikapo mwezi January, ingawa Podolskina Theo Walcott wanarudi baada ya wiki moja.
Si mbaya, mpaka sasa hii ni mechi ya pili kwenye ligi hii tunapoteza na inabidi baadhi ya wachezaji muhimu wapumzishwe.
Ramsey, Ozil, Giroud na Cazorla wamechoka sana.
emirates digea ataokota mipira wavuni hadi basi
Hahahaaah!me Hamna ongea too much,acha tukajipange upya.Kuwafunga Arsenal sisi hatubahatishi ,kocha wenu Wenger anajua hilo ndio maana alivaa lile jacket lake ambalo akilivaa ujue Arsenal anafungwa
mkuu naona umefurahi sana.... seems hukutegemea kabisa....!
ila team yenu bado kabisa....
acha kina theo, ox na pod warudi...
emirates digea ataokota mipira wavuni hadi basi
Thanks Mbu. Poleni sana kwa matarajio makubwa yaliyopitiliza.
Duuh!..tulale vizuri maana watu fudenge leo wangeshinda khe khe khe..mtuache miaka elfu🙂)
Mbona maneno mengi hivyo?Manu wamejitahidi kuziba mapengo yaliyojitokeza kwenye gemu zilizopita lakini nasi tulikubali kuufuata mchezo wao
Hongereni
Nilisema mwanzo ligi ya safari hii ni ngumu bado siwezi kutabiri kama Manu wanaweza kulikwaa kombe wanacheza zaidi kwa kukamia timu sio kwa ligi nzima, nasikia AF amerudi kwa mlango wa nyuma kwa gemu ya leo kwani ingelikuwa matokeo mengine basi sokomoko lazima ingelitokea pale OT
dah, they used the same formula again....worst night to us, best to them