Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Wateja wakudumu mtasema sana
Flamini yellow .... ... .... kazi kubwa ... ...
Wenye nyumba yenu naomba kujua kama Ozil yuko uwanjani.
Manure wanazawadiwa kona hapa yaani huyu refa stupid kabisa ... ... .... Then golikipa anaumizwa ... .... .Dah mpunga wa leo haya tutaona second half watakuja kivipi....
At least hapa umeongea ukweli,mwambie Wenger amuingize Ozil kipindi cha piliGunners hawajacheza mpira bana lala salama inakuja .... .... .... ...
Mtacheka au mtachekacheka?Tutacheka mwishoni wakuu!
Sijui ni kwanini Rooney hapewi kadi ya njano kwa kumchezea rafu Thomas Vermaelen.