leo hata kutoka nje naona tabu
bora tufungwe lakini tucheze mpira kuliko kufungwa na mpira hauko
Kila kitu kinafanyika kwa ajili ya brighter future.
Man Utd lost first game last season.
Sisi hii inatuambia timu yetu haiko tayari kuwa top 6/7
Wenger .., afanye usajili no excuse hapa tulikuwa average sana
WENGER out! Huyu mzee falsafa yake imepitwa na wakati, tatizo anaimani yeye bado ni smart sana ingawa anafeli mwaka hadi mwaka hataki kusikiliza wapenzi na bodi wanafurahia faida tu
.
Wenger .., afanye usajili no excuse hapa tulikuwa average sana
BTW EPL ndio kwanza inaanza Kosc ana mkosi au ni huyu Tailor ambaye kila msimu anampa red card - it wasn't a penalty. Wanoko pamoja na English media haters wamepata cha kuandika. Kujikwaa sio kuanguka. Ni timu chache zinazoweza kushinda baada ya kupewa penalty mbili.