leo hamunioni mpaka kesho au Manu wafungwe ndio nitatoka huku mafichoni vyenginevyo tutaonana Jumatatu hata kesho sitoki humu ndani
Nyie watu wa kutoa majeneza tu, washika magobole. Hahahahhh.
Glory Glory
Swansea 0 Man United 2 (RvP na Welbz)
Cc: Wacha1
Nzi leo umenikusudia
Nakutaarifu tu:
Swansea 1 Man United 4 (RvP, Welbz, RvP na Welbz). Rooney aliingia na kutoa assits za goli 2 za mwisho.
leo Manu katangazwa bingwa?
Hongereni sana wadau! Gunners
huu ni mwaka wa ZE GUNNERS......