Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Babu tunamtaka huyo Gustavo..........
yap Gustavo atasaidia sana katikati kwa namna yoyote ile Babu Wenger inabidi ahakikishe anampata huyu jamaa.
Babu tunamtaka huyo Gustavo..........
Hata Gustavo ni mzuri tu,labda physique.............Lakini mimi nafikiri kama 2ngelimpata Fellain, ingelikuwa bora zaidi kuliko kama 2kimpata Gustavo.
Kwasababu FELLAIN ana Offer Option nyingi kama vile kuweza kucheza vizuri tu kama DM au AM hapo hapo, ni mzuri pia kwenye battle ya may be 1 against 2,3 kama alivyokuwa A. Song
Pia ana uwezo mkubwa wa kufunga ambapo mtu unaweza kujiuuliza huyu Jamaa anacheza False # 10!
Kitu kingine ambacho napenda kuzungumzia kidogo ni suala la Mabeki, Beki tulizonazo sio nzuri sana tunaitaji tupate Mabeki kama wawili hivi ili kikosi kiwe imara sana kuliko ilivyo sasa, kwa mfano Unakuta timu inashinda 7-5, 4-3. Wakati wenzetu wanashinda bila hata kufungwa goli(ie cleanshit) ata mechi 5.
Pia jambo lingine linalonishangaza ni watu wanaopenda asajiliwe kipa mwingine wakati Mi naona kipa tulienae ni Mzuri tu, na ukizingatia umri wake bado ni Mdogo tu ambapo akija fikisha 25-26yrs atakuwa amekamilika haswa, sema tu anaangushwa tu na Defence mbovu tuliyonayo.
Huo ndio mtazamo wangu wana Gunners wenzangu.
Ni vizuri kama utanirekebisha pale nilipokosea au kuweza kujalizia nilipoishia kuliko matusi ambayo hayatanisaidia kunijenga/kuniongezea uelewa kwa kile nisichokifahamu.
THE GUNNERSSSSSSSSSSSSSSSS
FOREVERRRRRRRRRRRR...........
Upo besti, mmefurahi wenyewe kushinda? Finally...EPL hiyoo tuanze kushambuliana!!
Habari za north london zinzchema Luiz anatinga Emirates .... .... ... chubiri haters chacha .... ...

sagna is injured which means we have four fit senior defenders. Shame there's no ‘top top quality' defenders out there. We'd have bought them by now :noidea:
Vipi Suarez keshatinga emirates?
Gustavo 'agrees Wolfsburg move'
Bayern Munich midfielder Luiz Gustavo has agreed to join Wolfsburg over Arsenal, according to Die Welt. Read
majangaaaaa....................................
Lakini mimi nafikiri kama 2ngelimpata Fellain, ingelikuwa bora zaidi kuliko kama 2kimpata Gustavo.