Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
Hahahahahahaaaaaa!! Squeaky bum time!!
karibu tena... " keep looking up"
Hahahahahahaaaaaa!! Squeaky bum time!!
Tusimsingizie refa, leo timu especially second half hatujafanya lolote. Hakukuwa na shambulizi lolote. Bora hata Benayoun angebaki maana baada ya huyu mpuuzi Gervinho kuingia ndio mpira ukaharibika kabisa!!Ref wasnt fare,,,,, This is why sometimes players dive....
Hahahahahahaaaaaa!! Squeaky bum time!!
Tunaanza leo kukamua. Mungu ibariki Asenali. 3 points please! COYG
tehteh! kichapo kibaya sana, naona wenger jana almanusraa apae angani, rvp naye kutoa mkono ulikua mzito. tehteh!
Poleni sana.Naona mmeangukia pua nyumbani kwenu.
....Arteta out for the rest of the season, ankle ligament....Wilshere na Diaby ni 'option' ilobakia baada ya Frimpong naye kuwa ruled out mpaka msimu ujao. Ramsey atatusaidiaje?
Yossi Benayoum is loan-tied game na Chelski, hapo ndipo Gaffer wetu unakuta anamchezesha The Ox kwenye midfield...
In Arsene I trust, top four is a must!