Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Ramsey ni nahodha wa timu ya Taifa ya Wales,nadhani unakumbuka alivyojitetea kutoa Chamberlain kwenye game ya Manu na kumuingiza nahodha wa RussiaSijui kwanini babu anampenda hivi huyu mtoto..
Ramsey ni nahodha wa timu ya Taifa ya Wales,nadhani unakumbuka alivyojitetea kutoa Chamberlain kwenye game ya Manu na kumuingiza nahodha wa RussiaSijui kwanini babu anampenda hivi huyu mtoto..
What if we take One game at a time.....
Sijui tungemfukuza Wenger kama wakina PEASANT walivyoshauri, sijui ingekuaje? Wakuu mnaona matunda ya kumuamini kocha wenu?!
Kama tukikamua mechi 3 kati ya hizi 5 hakika 3rd spot is guaranteed.COYG.