Timu inacheza vizuri...Ramsey na Walcot hawako fresh, Song naye katepeta!
Kwa hiyo mmeamua kuburudishana mnaoona game siyo? Kuna shida gani mkituwekea matokeo kila baada ya muda?Accuracy = 05%............
Ohhhh United wamefungwa na wigan na nyinyi leo imekuwaje tena??acheni kuongea wakuuu
Ramsey na Gervinho ni wachezaji ambao sina hamu kabisa ya kuwaona wakiwa uwanjani..ARTETA .... jamani.. Ramsey kashindwa ku cover lile pengo....