Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

....Arteta out for the rest of the season, ankle ligament....Wilshere na Diaby ni 'option' ilobakia baada ya Frimpong naye kuwa ruled out mpaka msimu ujao. Ramsey atatusaidiaje?

Yossi Benayoum is loan-tied game na Chelski, hapo ndipo Gaffer wetu unakuta anamchezesha The Ox kwenye midfield...
In Arsene I trust, top four is a must!

Diaby na Francis Coquelin wamerudi rasmi kikosini. Kwahiyo tuna option 2 za midfield bench. Uzuri wa Coquelin ni versatile, kama mambo yakienda vizuri nategemea kumuona bench.
 
.....statistics zinasema Arsenal haijawahi shinda msimu huu bila
Arteta kikosini....

In Arsene Wenger I Trust,
Van Persie needs to rediscover his
Goalscoring spree bana.....
 
.....statistics zinasema Arsenal haijawahi shinda msimu huu bila
Arteta kikosini....

In Arsene Wenger I Trust,
Van Persie needs to rediscover his
Goalscoring spree bana.....

Za uongo hizo. Champions league tuli'qualify vipi? I mean ilibidi tupite knock out stage and we did it without him!
 
Za uongo hizo. Champions league tuli'qualify vipi? I mean ilibidi tupite knock out stage and we did it without him!

.....acha tu kaka, nikiendelea kusoma haya magazeti hata mpira sitaweza angalia...

Rise & Shine you Gunners,
Together We Stand!
 
Arsenal team
Szczesny, Sagna, Vermaelen, Koscielny, Gibbs, Song, Ramsey, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Walcott, Van Persie.

Chelsea
Chelsea: Cech, Bosingwa, Cahill, Terry, Bertrand, Essien, Romeu, Malouda, Kalou, Sturridge, Torres.

Tushindwe tu wenyewe!!
 
gooners.... !! vipi leo tutatoka!!

Tunatoka leo mkuu usiwe na wasi wasi.

Ox kaanza leo,kitachotokea atakuwa anawavuta mabeki wa Chelsea huku Van Persie anafanya mambo.

Mechi nyingi dogo asipocheza mabeki wa timu pinzani focus yao yote inakuwa kwa Van Persie kwa vile hakuna mchezaji anayetisha pale mbele mwingine.
 
Midfield imepwaya sana. We need someone aggressive. Diaby suits
 
Chelsea wanacheza 10 men behind the ball, wanaonekana wanataka kutoa sare. Arsenal itabidi wawatumie zaidi Walcott na Oxlade kufungua ngome ya Chesea.

Ramsey ni hovyo kabisa.

Kwa sasa Arsenal wanacheza 4-3-2-1 na kumwacha Van Persie peke yake mbele na hii haitasaidia.

Itabidi kumwingiza Diaby badala ya Ramsey, Diaby ni more aggresive na atasaidia kuharakisha mashambulizi.
 
......Diaby mzuri (kwa siku zake)....bora jini likujualo (Ramsey)....maana Diaby aki bore ana bore hasa,....kuliko Ramsey. Hapa Gervinho ndio atatufaa...

In Arsene Wenger I Trust, he knows better....
Chelsea leo bila Drogba 'wamepwaya' kidogo...
 
......Diaby mzuri (kwa siku zake)....bora jini likujualo (Ramsey)....maana Diaby aki bore ana bore hasa,....kuliko Ramsey. Hapa Gervinho ndio atatufaa...

In Arsene Wenger I Trust, he knows better....
Chelsea leo bila Drogba 'wamepwaya' kidogo...

Du mkuu nilisahau hilo, ahsante kwa kunikumbusha kuhusu Gervinho maana Arteta imekuwa confirmed hatocheza tena mpaka msimu ujao.
 
Je nini cha kufanya kipindi cha pili kwa Arsenal maana Chelsea wanacheza "10 men behind the ball".
 
Kama Ramsey akiingia 2nd Half then ntajua AW ana agenda ya siri..... He is so POOR.....
 
Back
Top Bottom