Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Diaby nae anaingia badala ya Rosicky maana hajafanya mazoezi wiki hii kutokana na kuumwa mafua.

Ila leo kajijahidi kucheza kwa bidii.
 
Chelsea wana matumaini ya kushinda mechi kule Spain na kupata nafasi ya kucheza tena Uefa CL mwakani, hakika hii ni ndoto mbaya sana.

Wanataka kutoa sare leo hii ni dalili ya kushindwa kufikiri.
 
Ila tufahamu kuwa Newcastle na Tottenham wakishinda leo basi tutakuwa tumewazidi 2 points only, na hio ni hatari.
 
.....hizi changes (both teams) kama ingekuwa mchezo wa tennis, basi advantage ingekuwa kwa Chelsea....

Hapa wanatuvizia counter attack tu....
 
Back
Top Bottom