Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Kwanini toleo la nyuma waliita retina then wakaja amoled kisha kurudi retina? Kwanini simu zote wanapoita amoled huwa na muonekano karibu sawa? Mbona hata resolution yake ni ndogo kulinganisha na mwaka Jana walipoita amoled?
Iphone wananunua hizo amoled kwa samsung sasa wameamua safari hii wasimpe dili
 
Hata iphone sasa hivi wameathirika simu zinauza sana kwao ni SE na iphone 11 (zote ni chini ya Dola 700) hizo ni bei za midrange siku hizi. Zile za bei za juu kama pro na max haziuzi tena kama zamani.

Tumefikia AGe ambayo kwenye midrange mtu wa kawaida anapata kila kitu kuanzia display nzuri,perfomance na hata camera.

Suala la industry kuwa saturated limeathili kila mtu , point yangu ni kwenye high end phones ambapo Apple anawakimbiza competitors, tena sana. Muda si muda itakuwa kama kwenye tablets ambapo sasa ni Kama Apple kabaki peke yake. Haya hayaji bahati mbaya. Competitors wamekosa consistency sokoni devices zao Hazina support na haziendani na kile wanachokitangaza, kifupi ni common products

Kipindi cha iPhone X niliwaambia kuhusu Face ID mkawa wabishi Kwa kuilinganisha na window hello na Iris scanner ya Samsung , kilichotokea wote tumekiona. Tumejua nani anafanya utani na nani yuko serious.! Wakati wengine wanakimbizana na ram na megapixel sijui zoom Sasa LiDAR imeingia kwenye iPhone, game inabadilika muda si mrefu. Alafu mtu anajiuliza Kwa nini Apple wanauza sana anaishia kuleta ngonjera za isheep sijui vitu gani havina hata maana. Kuna siku nilisema wote tunatakiwa kujifunza Kwa Apple Kwa kile wanachokifanya
 
Kulikuwa na kipindi Apple anauza Tablets zaidi ya Milioni 20 kwa miezi 3 siku hizi hata milioni 10 kuuza ni Shida. Hivyo japo Ipad zinaongoza kimauzo ila zinauzika chache zaidi na mauzo yake yanashuka compare na miaka 5 ama 10 iliopita. Siku hizi hata hawareport tena ni kiasi gani wameuza units wise jinsi mauzo yalivyo madogo.

Na point Yangu mimi ni Selling price, imefikia wakati Apple wamekuwa maarufu kwa simu za $399 ujue tena uking wa Highend unaondoka huo.

Na hata sasa hivi ukienda Gsmarena iphone 12 mini ina attract interests kushinda iphone zote zilizozinduliwa sababu ni bei rahisi zaidi japo haina features nzuri kuliko wenzake.
 
huyu huyu ndiye alipinga iphone kutoa simu za bei ndogo.

leo 12min imetoka na bei chini ya dollar 700.

sio kupenda kwao apple ni kujaribu kwenda na wakati.
 
Utakuwa hukuelewa, Nilichosema Apple hawatengenezi bidhaa inferior ili wauze Kwa bei ndogo . Na hawajawahi kufanya hivyo. They never ship junk. Hizo mnaita mid range iPhone ni simu premium yan kama SE ya kwanza ni simu premium kabisa huwezi kulinganisha na competitors. Tofautisha mambo
 
Kulikuwa na kipindi Apple anauza Tablets zaidi ya Milioni 20 kwa miezi 3 siku hizi hata milioni 10 kuuza ni Shida. Hivyo japo Ipad zinaongoza kimauzo ila zinauzika chache zaidi na mauzo yake yanashuka compare na miaka 5 ama 10 iliopita. Siku hizi hata hawareport tena ni kiasi gani wameuza units wise jinsi mauzo yalivyo madogo.

Na point Yangu mimi ni Selling price, imefikia wakati Apple wamekuwa maarufu kwa simu za $399 ujue tena uking wa Highend unaondoka huo.

Na hata sasa hivi ukienda Gsmarena iphone 12 mini ina attract interests kushinda iphone zote zilizozinduliwa sababu ni bei rahisi zaidi japo haina features nzuri kuliko wenzake.

Bado unaongelea industry nzima , Mimi nime isolate high end tu Apple anawakimbiza. Basi mambo ya industry kama ni mada mpya pia bado Apple yupo vizuri sana. Focus kwenye point mkuu
 
Utakuwa hukuelewa, Nilichosema Apple hawatengenezi bidhaa inferior ili wauze Kwa bei ndogo . Na hawajawahi kufanya hivyo. They never ship junk. Hizo mnaita mid range iPhone ni simu premium yan kama SE ya kwanza ni simu premium kabisa huwezi kulinganisha na competitors. Tofautisha mambo
hapana mkuu hii tabia ya kuhamisha magoli huwa siielewi kabisaa.

hakuna bidhaa imferior,kuna bidhaa ya gharama ndogo.wacha basi niulize sababu ya iphone 12 min kuanizia $690???

sisi hatuna shaka na apple,ila tuna mashaka na nyinyi wasemaji wao,hamuachi akiba ya neno.hizi ni biashara tu chochote kinawezekana.
 
Bado unaongelea industry nzima , Mimi nime isolate high end tu Apple anawakimbiza. Basi mambo ya industry kama ni mada mpya pia bado Apple yupo vizuri sana. Focus kwenye point mkuu
Industry kivipi? Sijakuelewa

Na hili nalo pia ni debate, Se perfomance wise ni Highend ndio ila unaishia hapo hapo mambo mengine ni kama Midrange.

Mfano nataka simu highend ya ku consume media Se huwezi kuiita Highend.
 
hapana mkuu hii tabia ya kuhamisha magoli huwa siielewi kabisaa.

hakuna bidhaa imferior,kuna bidhaa ya gharama ndogo.wacha basi niulize sababu ya iphone 12 min kuanizia $690???

sisi hatuna shaka na apple,ila tuna mashaka na nyinyi wasemaji wao,hamuachi akiba ya neno.hizi ni biashara tu chochote kinawezekana.

Basi twende Kwa evidence, Leta mahali niliposema Apple hawatengenezi bidhaa za bei ndogo. Twende na facts maana naona wewe ndo unaleta vitu from nowhere .

Pricing inategemea mambo mengi,katika context hiyo iPhone 12 mini nategemea iwe na screen ndogo battery ndogo n.k sasa huoni material yanakuwa kidogo ?

Na mtu huwezi kuwa na mashaka na Apple,Kwa sasa halinganishwi na kampuni yoyote upande wa cm na tablet, smartwatch, EarPods n.k Wako serious huu upande na wana deliver kweli kweli labda mtu awe haelewi
 
Industry kivipi? Sijakuelewa

Na hili nalo pia ni debate, Se perfomance wise ni Highend ndio ila unaishia hapo hapo mambo mengine ni kama Midrange.

Mfano nataka simu highend ya ku consume media Se huwezi kuiita Highend.

Teh teh mpaka unashindwa kujua kama SE ni high end au mid range, ndo maana nilimwambia hapo @mkorinto kwamba Apple never ship junk .. . Yeye akaelewa kwamba Apple never ship low priced products.
 
All the time apple wanazingua.

Kwasababu wanalinganishwa na smartphone zingine ambazo zimeshatoka.

Na ni mara nyingi apple wapo notorious sana kujaza features zote ambazo watu wametegemea ziwepo.

Mfano; binafsi nilitegemea waweke 120Hz refresh rate, waweke usb type c. Ila hawajaweka.

Hapo ukute atakuja navyo mwakani! Bora nibaki na 11 pro max yangu.
 
Teh teh mpaka unashindwa kujua kama SE ni high end au mid range, ndo maana nilimwambia hapo @mkorinto kwamba Apple never ship junk .. . Yeye akaelewa kwamba Apple never ship low priced products.
who ship junks???
 
who ship junks???

Samsung
Sony
Huawei
Oppo
Tecno
Infinix . Hizi ni kampuni zinakuuzia simu ya laki nane unakuta hata camera focus hazina, no updates , zina stretched applications yan app haziko tailored na model ya simu , security almost zero, inferior housing hazidumu, chukua Samsung fungua sms za kawaida weka emoji ya kucheka au kulia utashangaa hii emoji inacheka au ni nini, sasa kampuni kama Samsung wanaweka emoji hazieleweki graphics mbovu kabisa unategemea nini, ila wao ni ram na megapixel Matatizo ni mengi sana siku nikipata muda ntaelezea hapa .
 
kahiyo simu ya android ya laki nne ulinganishe na simu ya apple ya $690!!!maana hapo ni low end na midd range.

labda midd range za samsung zinauzwa laki nne now,ila a70 ya mwaka jana mpaka leo bado iko vyema tu.
 
kahiyo simu ya android ya laki nne ulinganishe na simu ya apple ya $690!!!maana hapo ni low end na midd range.

labda midd ranhe za samsung zinazuwa laki nne no,ila a70 ya mwaka jana mpaka leo bado iko vyema tu.

Whether iwe low au mid na hata high end zinaishia kuwa junk phones ingawa kuna utofauti. Chukua mfano galaxy fold simu ya dola 2000. Kampuni ina focus kwenye hardware inasahau software matokeo yake mteja anakutana na experience mbaya, applications haziko optimized ku take advantage ya hardware , app ziko stretched up ku fit screen bila kujali ubora na hiki kitu kiliua tab za android. Kumbuka software ndo Kila kitu. Mwisho product inaishia kuwa junk maana haiwezi ku deliver. Nimekupa mfano mdogo kama una android yoyote fungua sms (siyo whatsap) angalia emoji zilinganishe na emoji hata za iPhone 5s utashangaa utakachokiona. Mambo kama haya ndo yanampa advantage Apple. Kwa maana nyingine simu inferior maana yake ni unakuta Simu ina Iris scanner , face scanner fingerprint Kwa wakati mmoja ila zote hazifanyi kazi vizuri ila Apple wao wameweka moja tu either Touch ID au Face ID na iko perfect (does what it is supposed to do)

Huwezi amini app za google kama YouTube na gmail zinafanya kazi vizuri kwenye iPhone kuliko simu zao wenyewe, Samsung ana manufacture processor ya Apple inakuwa faster kuliko wanazotumia wao, X ina display nzuri kuliko cm za Samsung (Kwa mwaka huo) lakini hiyo display imetoka Samsung. Sony anatengeneza camera kali za iPhone kuliko simu zake mwenyewe. Kwa hii mifano michache unaweza kuona kati ya wateja wa Apple na wa cm nyingine nani wanachezewa akili.
 
Back
Top Bottom