Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,212
- 80,120
Dah! Hiyo iPhone ya macho matatu hiyo utafikiri Schwarzenegger kwenye muvi ya Commando parefu sana hapo kwa sisi watu wa kawaida aisee. Mnaozimiliki kwa kweli mnastahili hongera nyingi mkuu. Yaani hiyo moja tu naweza kununua TECNO hata 10 nikagawia ukoo wetu mzima![]()
Hahaha! Yaani waweza msema mtu na asijue kama anasemwa

@Schwarzenegger.