Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Nimependa shape ya simu maana kwangu muundo wa iphone 5, 5s na 5se ndo the best haya mengine yalikuwa hayanivutii sasa ninaona wamerudisha muundo huo safi sana.
Ila kitakachomuua iPhone ni kufikiri anajua sana kuliko wateja kama kilichomuua Blackberry,
iPhone amekuwa na kiburi kiasi kwamba ni kama vile ana anatuambia hataki wateja wapya ndiyo maana anasema tayari wateja wana chaja za zamani haina haja ya kuship simu na chaja mpya.
si ndio ana watena wenye akili hizo??
mtu anakwambia kama umehamia IOS na unataka kuiona ikiwa kama android unakosea,yaani anaamua kuitetea na kuisema apple.
 
si ndio ana watena wenye akili hizo??
mtu anakwambia kama umehamia IOS na unataka kuiona ikiwa kama android unakosea,yaani anaamua kuitetea na kuisema apple.
ios kama ios platform yake iko safi sana stable pia ila apple naona wameanza kuwa na ubabe wa kimonopoly
 
ios kama ios platform yake iko safi sana stable pia ila apple naona wameanza kuwa na ubabe wa kimonopoly
shauri yao,kwanza huawei aliishaanza kuleta upinzani usio wa kawaida kwenye kila secta.simu ilikiwa na speed sio ya kawaida.

wana bahati ban iliwaokoa na ushindani ambao walikuwa wameanza kuonyeshwa.
 
shauri yao,kwanza huawei aliishaanza kuleta upinzani usio wa kawaida kwenye kila secta.simu ilikiwa na speed sio ya kawaida.

wana bahati ban iliwaokoa na ushindani ambao walikuwa wameanza kuonyeshwa.
Nadhani bwana jobs angekuwepo asingeruhusu ushenzi huu,
 
Nadhani bwana jobs angekuwepo asingeruhusu ushenzi huu,
lazima umpe mteja kitu ambacho hawezi kipata kwingine.

ukikaa unasema naboresha tu unazingua,maana anvyonoresha unakiwa watu wameisha ishi navyo miaka hata mitatu iliyopita android huko.
 
Lazima niinunue hii kitu, maana wamerudi kwenye muundo ninaoupenda, sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana siyo kama version zingine zinafanana na samsung, hakika nimefurahi sana tena sana kama ule ushindi wa Dkt Magufuli utakavyokuwa hapo 28.10.2020
Kiukweli huo muonekano wa 5s na SE huwa naupenda sana, hapa kwenye muonekano nawapongeza
 
Kiukweli huo muonekano wa 5s na SE huwa naupenda sana, hapa kwenye muonekano nawapongeza
shida ni kwamba hauko pure 5 maana una glass.ila wamejitahidi kuirudisha huku wakikimbizana na mahitaji ya sasa ya kioo kikubwa,wakaona walete na simu ndogo ambayo itakaribia zaidi ladha ile ile ya iphone 5,12 mini.

katakiwa kadogo kabisa.
 
2.6m ni ya 64gb usibishane kama huna facts
kumbe uko kwa ajiri ya kubishana hapa!!!

haya nikuulize,hiyo ni 11,11 pro au 11 pro max???

maana inaonekana hata hujui naongelea kitu gani,12 pro max 512 inakwenda $1450,unajua baada ya mwaka itakuwa imeshuka kiasi gani!!!!
 
MP sio ubora wa picha Bali inaongeza details hivyo iPhone amewekeza nguvu zaidi kwenye kutengeneza software za kuprocess picha vizuri.Na unapaswa ujue kwamba jinsi MP zinavyozidi kuwa kubwa software inazid kuzidiwa kwenye kuprocess picha ,Ndo maana ukiangalia simu za xiaomi zina Megapixels nyingi kuliko iPhone lakini picha zake hazina ubora lakini zina details zakutosha kuliko iPhone
Masikhara hayo....
 
kumbe uko kwa ajiri ya kubishana hapa!!!

haya nikuulize,hiyo ni 11,11 pro au 11 pro max???

maana inaonekana hata hujui naongelea kitu gani,12 pro max 512 inakwenda $1450,unajua baada ya mwaka itakuwa imeshuka kiasi gani!!!!

Naona atleast umeanza kujikamata sasa hio $1450 ni price ndogo?? Na ukizingatia promax ina mwaka tyr. Kitakacho fanya 11 promax ishuke ni demand kuwa kubwa kwenye iphone 12 ila trust me haiwez shuka bei kama unavofikir wewe iphone wako consistent sana kwe market.
 
kujikamata ndio kufanyaje wewe kijana,nimekutajia bei tajwa ya iphone 12 gb 512 ili ulinganishe na iphone 11 pro max kwa saa sokoni.au hujaelewa??

tatizo lenu kwa apple mnangalia bei za maduka yanayoeleweka,ila simu nyingine mnaulizia kkoo na kupatana.
bei haiamuliwi na demand ya simu mpya bali ingizo la simu mpya,ikiishaingia 12,11 lazima ishuke mpaka kwenye 1.7.8ml.
 
Naona atleast umeanza kujikamata sasa hio $1450 ni price ndogo?? Na ukizingatia promax ina mwaka tyr. Kitakacho fanya 11 promax ishuke ni demand kuwa kubwa kwenye iphone 12 ila trust me haiwez shuka bei kama unavofikir wewe iphone wako consistent sana kwe market.
Hawa jamaa hawajui wanasimamia nini na wapi, suala la kushuka bei na depreciation kwa ujumla linazikumba sana simu zingine na si issue ya ku discuss inajulikana na kila mtu, Apple wako vizuri kwenye hili na ndo wanaongoza kwa depreciation ndogo tena both quality na price. Android zinashuka sana bei na hawa vijana wanajua sema basi tu ilimradi thread ziwe nyingi.
 
shida ni kwamba hauko pure 5 maana una glass.ila wamejitahidi kuirudisha huku wakikimbizana na mahitaji ya sasa ya kioo kikubwa,wakaona walete na simu ndogo ambayo itakaribia zaidi ladha ile ile ya iphone 5,12 mini.

katakiwa kadogo kabisa.
mkuu 12 mini siyo simu ndogo na wala haikaribiani na iphone 5 kama unavyosema , 12 mini haina tofauti sana na 6 plus kwa ukubwa kwa hiyo usiilinganishe na iphone 5. Sometimes fanya ku google kabla ya kuja na post itasaidia sana mkuu
 
mimi nakushauri uwe unanisoma kwa utulivu.

au ili uelewe anzia kwa ninayemjibu,au vipi??
hakuna sehemu nimesema italingana na iphone 5,nimeandika ladha ya iphone 5 kwenye 12,itasikika zaidi kwenye 12 mini maana ni kasimu kadogo zaidi,ingawa itakuwa na glass nje.
 
1. S20 haijawahi kuwa juu ya pro max usichanganye s20 na s20 ultra.

2. Simu za samsung zinazoshuka thamani sana ni refurb ingia amazon sasa hivi s20 ultra inatembea zaidi ya dola 1200 ambayo ni 3m+
Mkuu nataka ninunue s9 plus nifahamishe jinsi yakuepuka refurb
 
Back
Top Bottom