Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Yaani isheep wao apple akisema hiki hakitaki au hakiweki basi na wao wanasema apple hajaweka sio cha muhimu.

Isheep apple akiwaambia this time mpigwe mashine watatugawia sana makalio bure kwa sababu apple kasema.

Chochote atakachokisema apple wao wanakipokea kama kilivyo. Apple akisema 5G sio ya muhimu isheep wote wanakubali, kesho akisema ni muhimu wote wanakubali.

Hivi hizi simu mbona hawaweki battery capacity? Sioni RAM, sioni 120hz display.

Mwakani Apple ataongeza tu 120 display na RAM kidogo tu halafu atawapiga bei kondoo wake na wao wanachekelea.

Leo anawaambia hatoi charger kwa sababu ya kimazingira lakini anasema ukiihitaji unaweza kununua. Kwamba ukinunua seperate huharibu mazingira ila ikija na simu inaharibu mazingira na makondoo yanachekelea tu. Halafu watu kama hao wanawacheka waumini wa mzee wa upako au wa Gwajima.
Wewe jamaa bana! 😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾 nikiangalia profile picture yako na nikisoma hiki ulichokiandika hapa. 🙌🏾😂 kwa kweli unafaa kuwa Hakimu Mfawidhi 😂
 
Basi mie nikajua hutaki maendeleo ya vitu
Maendeleo ya vitu ndo huleta maendelo ya Watu... Sasa mimi mkulima bila barabara ntasafirishaje mazao yangu... Nikishauza mazao ndo nanunua iPhone ... maendeleo ya vitu ....japo sidhani Kama ntakuja nunua iPhone LOOOH... But never say never
 
Karibu tupite kwny flyover na baadae kwny sgr.
Ej90XzoXsAEhEXM.jpg
 
Lazima niinunue hii kitu, maana wamerudi kwenye muundo ninaoupenda, sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana siyo kama version zingine zinafanana na samsung, hakika nimefurahi sana tena sana kama ule ushindi wa Dkt Magufuli utakavyokuwa hapo 28.10.2020
Usikute bete 2300 AmH maana enz za kutembea na powerbank zimepita
 
Oooh Asante mkuu ila kwa opinions za watu online naona Kama apple this time wamechemsha
Siku nyingi sana nimewasoma maana hizi iPhone 12 ilibidi zitoke mapema ila corona imezichelewesha. Hawa iPhone wameyumba ila ndo hivo tiyari wana wateja wa kudumu
 
Mkoa gani 4G ya voda ni tatizo?

Mimi nafanya kazi ya kuzunguka hii nchi yote kila mwaka mtandao pekee wenye internet ya kueleweka ni Vodacom tu, uzuri wao kama hakuna mtandao basi haupo, maana yake hata wa voice unakua haupo. Ila kama voice upo basi ni 4G ya kueleweka. Kama upo upo, kama hawana coverage basi hawana.
Muongo! Muongo mkubwa wewe.
 
Maendeleo ya vitu ndo huleta maendelo ya Watu... Sasa mimi mkulima bila barabara ntasafirishaje mazao yangu... Nikishauza mazao ndo nanunua iPhone ... maendeleo ya vitu ....japo sidhani Kama ntakuja nunua iPhone LOOOH... But never say never
hutaki kumfulia boyfriend wako nguo... Eti kisa hamjafunga ndoa!
Una akili timamu?
 
Hata hivyo kupanga ni kuchagua namiliki PC ya apple iMac pro lakini simu ninayotumia ni tecno k7 chaji ikiwi ni kichwa cha Samsung na yuesibii ya dukani
 
Maendeleo ya vitu ndo huleta maendelo ya Watu... Sasa mimi mkulima bila barabara ntasafirishaje mazao yangu... Nikishauza mazao ndo nanunua iPhone ... maendeleo ya vitu ....japo sidhani Kama ntakuja nunua iPhone LOOOH... But never say never
Ooh that is a nice analysis!! Ukishauza mazao yako unitafute nikuongezee fedha ili uimiliki iPhone, angalau hata iphone10 tu,.. Hiyo iphone12 tutafika wakati Apple wakitoa iphone14.
Like you said, Vitu haviepukiki katika maendeleo, kwani Fedha, Mazao, Nyumba, Simu n.k vyote hivyo ni Vitu pia.
 
Back
Top Bottom