Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Whether iwe low au mid na hata high end zinaishia kuwa junk phones ingawa kuna utofauti. Chukua mfano galaxy fold simu ya dola 2000. Kampuni ina focus kwenye hardware inasahau software matokeo yake mteja anakutana na experience mbaya, applications haziko optimized ku take advantage ya hardware , app ziko stretched up ku fit screen bila kujali ubora na hiki kitu kiliua tab za android. Kumbuka software ndo Kila kitu. Mwisho product inaishia kuwa junk maana haiwezi ku deliver. Nimekupa mfano mdogo kama una android yoyote fungua sms (siyo whatsap) angalia emoji zilinganishe na emoji hata za iPhone 5s utashangaa utakachokiona. Mambo kama haya ndo yanampa advantage Apple. Kwa maana nyingine simu inferior maana yake ni unakuta Simu ina Iris scanner , face scanner fingerprint Kwa wakati mmoja ila zote hazifanyi kazi vizuri ila Apple wao wameweka moja tu either Touch ID au Face ID na iko perfect (does what it is supposed to do)

Huwezi amini app za google kama YouTube na gmail zinafanya kazi vizuri kwenye iPhone kuliko simu zao wenyewe, Samsung ana manufacture processor ya Apple inakuwa faster kuliko wanazotumia wao, X ina display nzuri kuliko cm za Samsung (Kwa mwaka huo) lakini hiyo display imetoka Samsung. Sony anatengeneza camera kali za iPhone kuliko simu zake mwenyewe. Kwa hii mifano michache unaweza kuona kati ya wateja wa Apple na wa cm nyingine nani wanachezewa akili.
mkuu hiyo ndio emonj bora ya wakati wote kutoka samsung.

swala hapa kuhusu yoote uliyoandika,wa kulaumiwa na kuonekana ni mzembe kuliko wote ni pixel kutoka google.
anauza bidhaa zake bei juu wakati ameshindwa kuzi optimize ziendane na software anayoimiliki yeye mwenyewe,hawa wengine tutawaonea bure..
Screenshot_20201015-173457.jpg
 
mkuu hiyo ndio emonj bora ya wakati wote kutoka samsung.

swala hapa kuhusu yoote uliyoandika,wa kulaumiwa na kuonekana ni mzembe kuliko wote ni pixel kutoka google.
anauza bidhaa zake bei juu wakati ameshindwa kuzi optimize ziendane na software anayoimiliki yeye mwenyewe,hawa wengine tutawaonea bure..View attachment 1601205

IMG_1261.jpg

IMG_1263.jpg

Compare.
 
Iphone wananunua hizo amoled kwa samsung sasa wameamua safari hii wasimpe dili
Bado Apple ananunua Oled kwa Samsung mwaka huu baada ya Oled za BOE kufeli test za Apple...hata Samsung alitaka atumie Oled za BOE kwenye A series mwaka huu ila zikafeli test pia za Samsung so wanaendelea na Oled zao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Suala la industry kuwa saturated limeathili kila mtu , point yangu ni kwenye high end phones ambapo Apple anawakimbiza competitors, tena sana. Muda si muda itakuwa kama kwenye tablets ambapo sasa ni Kama Apple kabaki peke yake. Haya hayaji bahati mbaya. Competitors wamekosa consistency sokoni devices zao Hazina support na haziendani na kile wanachokitangaza, kifupi ni common products

Kipindi cha iPhone X niliwaambia kuhusu Face ID mkawa wabishi Kwa kuilinganisha na window hello na Iris scanner ya Samsung , kilichotokea wote tumekiona. Tumejua nani anafanya utani na nani yuko serious.! Wakati wengine wanakimbizana na ram na megapixel sijui zoom Sasa LiDAR imeingia kwenye iPhone, game inabadilika muda si mrefu. Alafu mtu anajiuliza Kwa nini Apple wanauza sana anaishia kuleta ngonjera za isheep sijui vitu gani havina hata maana. Kuna siku nilisema wote tunatakiwa kujifunza Kwa Apple Kwa kile wanachokifanya

Apple ni wajanja sana kwanza wanaanglia weakness ya wenzao afu wanafanya yao..
 
Kulikuwa na kipindi Apple anauza Tablets zaidi ya Milioni 20 kwa miezi 3 siku hizi hata milioni 10 kuuza ni Shida. Hivyo japo Ipad zinaongoza kimauzo ila zinauzika chache zaidi na mauzo yake yanashuka compare na miaka 5 ama 10 iliopita. Siku hizi hata hawareport tena ni kiasi gani wameuza units wise jinsi mauzo yalivyo madogo.

Na point Yangu mimi ni Selling price, imefikia wakati Apple wamekuwa maarufu kwa simu za $399 ujue tena uking wa Highend unaondoka huo.

Na hata sasa hivi ukienda Gsmarena iphone 12 mini ina attract interests kushinda iphone zote zilizozinduliwa sababu ni bei rahisi zaidi japo haina features nzuri kuliko wenzake.

Mkuu wakati samsung wanatoa s20 ilikua bei juu ya iphone 11 pro max ila now?? Imeshuka bei sana imeshindwa kuwa consistent kwenye market kama iphone11 pro max promax bado price inarange 2.6-3m. Apple wako vzr sana mkuu
 
hapana mkuu hii tabia ya kuhamisha magoli huwa siielewi kabisaa.

hakuna bidhaa imferior,kuna bidhaa ya gharama ndogo.wacha basi niulize sababu ya iphone 12 min kuanizia $690???

sisi hatuna shaka na apple,ila tuna mashaka na nyinyi wasemaji wao,hamuachi akiba ya neno.hizi ni biashara tu chochote kinawezekana.

Mzee hio $699 no tax hapo sasa iship bongo ndo utajua hujui
 
Whether iwe low au mid na hata high end zinaishia kuwa junk phones ingawa kuna utofauti. Chukua mfano galaxy fold simu ya dola 2000. Kampuni ina focus kwenye hardware inasahau software matokeo yake mteja anakutana na experience mbaya, applications haziko optimized ku take advantage ya hardware , app ziko stretched up ku fit screen bila kujali ubora na hiki kitu kiliua tab za android. Kumbuka software ndo Kila kitu. Mwisho product inaishia kuwa junk maana haiwezi ku deliver. Nimekupa mfano mdogo kama una android yoyote fungua sms (siyo whatsap) angalia emoji zilinganishe na emoji hata za iPhone 5s utashangaa utakachokiona. Mambo kama haya ndo yanampa advantage Apple. Kwa maana nyingine simu inferior maana yake ni unakuta Simu ina Iris scanner , face scanner fingerprint Kwa wakati mmoja ila zote hazifanyi kazi vizuri ila Apple wao wameweka moja tu either Touch ID au Face ID na iko perfect (does what it is supposed to do)

Huwezi amini app za google kama YouTube na gmail zinafanya kazi vizuri kwenye iPhone kuliko simu zao wenyewe, Samsung ana manufacture processor ya Apple inakuwa faster kuliko wanazotumia wao, X ina display nzuri kuliko cm za Samsung (Kwa mwaka huo) lakini hiyo display imetoka Samsung. Sony anatengeneza camera kali za iPhone kuliko simu zake mwenyewe. Kwa hii mifano michache unaweza kuona kati ya wateja wa Apple na wa cm nyingine nani wanachezewa akili.

we jamaa upo nondo agiza jack daniel ntalipia. Nilikua sijui about sony kuproduce camera za iphone vip kuhusu display za iphone12 nani katengeneza now
 
Mkuu wakati samsung wanatoa s20 ilikua bei juu ya iphone 11 pro max ila now?? Imeshuka bei sana imeshindwa kuwa consistent kwenye market kama iphone11 pro max promax bado price inarange 2.6-3m. Apple wako vzr sana mkuu
samsung tokea s1,ndio utaratibu wake huo.

hata hii note 20 ultra imeipita bei iphone 12pro max.ila baada ya miezi 8 mpaka 9 tu utakuta samsung imeshashuka sana kuipisha mpya.

so wiki kadhaa tutarajie 12 kuingia sokoni na bei mpya,hivyo 11 pro max itarudi mpaka 1.8,sijui 11 pro,11 ,xr,xe na xs max zitakalia wapi???ukiachana na x na nduguze wakiwa wanahangaika kwenye laki 8 huko chini.

kikubwa samsung wanakupa uhakika wa maika 2 tu baada ya happ bro,changia kampuni.
 
we jamaa upo nondo agiza jack daniel ntalipia. Nilikua sijui about sony kuproduce camera za iphone vip kuhusu display za iphone12 nani katengeneza now
hapo ishu ni OS(hardware na software kwa pamoja).android inayumba sana.

yaani kama samsung angekomaa na tizen hali ingekuwa tofauti sana sokoni,
uliishawagi shika simu za window ukaona balaa lake la camera na mambo mengine????
 
samsung tokea s1,ndio utaratibu wake huo.

hata hii note 20 ultra imeipita bei iphone 12pro max.ila baada ya miezi 8 mpaka 9 tu utakuta samsung imeshashuka sana kuipisha mpya.

so wiki kadhaa tutarajie 12 kuingia sokoni na bei mpya,hivyo 11 pro max itarudi mpaka 1.8,sijui 11 pro,11 ,xr,xe na xs max zitakalia wapi???ukiachana na x na nduguze wakiwa wanahangaika kwenye laki 8 huko chini.

kikubwa samsung wanakupa uhakika wa maika 2 tu baada ya happ bro,changia kampuni.

Tajir unajua s20 ultra bei yake now??
 
Tax hapo times2 ya hio price kuna shipping cost mtu hajaweka profit bado hio itapaa mpakaa 2.3 huko we subir
huu umbuzi,ndio huwa unafanya baada ya miezi mitatu mtu unajutia papara zako za kiwahi simu mpya.

unakurupuka unagongwa 2.2ml,miezi miwili unashangaa simu hiyo hiyo inauzwa 1.7mln.

wazee full box miyeyusho sana.
 
Mkuu wakati samsung wanatoa s20 ilikua bei juu ya iphone 11 pro max ila now?? Imeshuka bei sana imeshindwa kuwa consistent kwenye market kama iphone11 pro max promax bado price inarange 2.6-3m. Apple wako vzr sana mkuu
1. S20 haijawahi kuwa juu ya pro max usichanganye s20 na s20 ultra.

2. Simu za samsung zinazoshuka thamani sana ni refurb ingia amazon sasa hivi s20 ultra inatembea zaidi ya dola 1200 ambayo ni 3m+
 
Samsung
Sony
Huawei
Oppo
Tecno
Infinix . Hizi ni kampuni zinakuuzia simu ya laki nane unakuta hata camera focus hazina, no updates , zina stretched applications yan app haziko tailored na model ya simu , security almost zero, inferior housing hazidumu, chukua Samsung fungua sms za kawaida weka emoji ya kucheka au kulia utashangaa hii emoji inacheka au ni nini, sasa kampuni kama Samsung wanaweka emoji hazieleweki graphics mbovu kabisa unategemea nini, ila wao ni ram na megapixel Matatizo ni mengi sana siku nikipata muda ntaelezea hapa .
Mwanaume unaangalia simu emoj? Uko serious kweli mwanaume unalilia emoj?

Nenda kwa simu za Mashoga kina Tim Cook ndio zina emoj unazoendana nazo.
 
Nimependa shape ya simu maana kwangu muundo wa iphone 5, 5s na 5se ndo the best haya mengine yalikuwa hayanivutii sasa ninaona wamerudisha muundo huo safi sana.
Ila kitakachomuua iPhone ni kufikiri anajua sana kuliko wateja kama kilichomuua Blackberry,
iPhone amekuwa na kiburi kiasi kwamba ni kama vile ana anatuambia hataki wateja wapya ndiyo maana anasema tayari wateja wana chaja za zamani haina haja ya kuship simu na chaja mpya.
 
Back
Top Bottom