Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Hata hivyo kupanga ni kuchagua namiliki PC ya apple iMac pro lakini simu ninayotumia ni tecno k7 chaji ikiwi ni kichwa cha Samsung na yuesibii ya dukani
Mimi..namiliki laptop Aina ya HP..lakini navyovijua humo Ni vichache sanaaa... yaani Mambo ya technology nipo nyyma Sana.
 
Hata hivyo kupanga ni kuchagua namiliki PC ya apple iMac pro lakini simu ninayotumia ni tecno k7 chaji ikiwi ni kichwa cha Samsung na yuesibii ya dukani
ndio maisha yetu wabongo,wala usishangee kukuta hata wenye vifaa vitatu tu vilivyo vya apple ni wa kuhesabu.

utakuta mtu ana simu na saa tu,mwingine ana mac na saa.

mwingine ana simu ya apple earphone za elfu 8 nk.
 
Yaani isheep wao apple akisema hiki hakitaki au hakiweki basi na wao wanasema apple hajaweka sio cha muhimu.

Isheep apple akiwaambia this time mpigwe mashine watatugawia sana makalio bure kwa sababu apple kasema.

Chochote atakachokisema apple wao wanakipokea kama kilivyo. Apple akisema 5G sio ya muhimu isheep wote wanakubali, kesho akisema ni muhimu wote wanakubali.

Hivi hizi simu mbona hawaweki battery capacity? Sioni RAM, sioni 120hz display.

Mwakani Apple ataongeza tu 120 display na RAM kidogo tu halafu atawapiga bei kondoo wake na wao wanachekelea.

Leo anawaambia hatoi charger kwa sababu ya kimazingira lakini anasema ukiihitaji unaweza kununua. Kwamba ukinunua seperate huharibu mazingira ila ikija na simu inaharibu mazingira na makondoo yanachekelea tu. Halafu watu kama hao wanawacheka waumini wa mzee wa upako au wa Gwajima.
Mkuu nimecheka sana nilikuwa nawaza hawa iSheep ni akina nani ila nilipo decrypt imeniacha na kicheko. Umekuwa very factual na wenye mahaba na bidhaa za tufaa 😂😂😂 kimsingi ni misukule tu kama wale wa Gwajiboy tofauti yao hawa wanalipishwa hela ndefu kama ada kila mwisho wa mwaka.
 
Hawa jamaa bhana camera zao huwa wanafanyaje? utakuta 12mp camera kali kuliko 108mp za simu zingne naelewa somo la mega pixels...ila wao huwa wanafabyaje nauliza
Wana software nzuri ya ku exploit hardwares in full efficiency. Hapa ndipo uchawi ulipo.

Namshangaaga Sony ndie anaewauzia sensors na camera ila Sony hana camera kali ya kuizidia Tecno ya laki 4.
 
MP sio ubora wa picha Bali inaongeza details hivyo iPhone amewekeza nguvu zaidi kwenye kutengeneza software za kuprocess picha vizuri.Na unapaswa ujue kwamba jinsi MP zinavyozidi kuwa kubwa software inazid kuzidiwa kwenye kuprocess picha ,Ndo maana ukiangalia simu za xiaomi zina Megapixels nyingi kuliko iPhone lakini picha zake hazina ubora lakini zina details zakutosha kuliko iPhone
Hata google pixel zinawekeza zaidi kwenye softwares.
 
MP sio ubora wa picha Bali inaongeza details hivyo iPhone amewekeza nguvu zaidi kwenye kutengeneza software za kuprocess picha vizuri.Na unapaswa ujue kwamba jinsi MP zinavyozidi kuwa kubwa software inazid kuzidiwa kwenye kuprocess picha ,Ndo maana ukiangalia simu za xiaomi zina Megapixels nyingi kuliko iPhone lakini picha zake hazina ubora lakini zina details zakutosha kuliko iPhone
mi najua ubora wa picha mkubwa ni details.
Yani hata ukizoom quality inabakia
 
Oooh Asante mkuu ila kwa opinions za watu online naona Kama apple this time wamechemsha
All the time apple wanazingua.

Kwasababu wanalinganishwa na smartphone zingine ambazo zimeshatoka.

Na ni mara nyingi apple wapo notorious sana kujaza features zote ambazo watu wametegemea ziwepo.

Mfano; binafsi nilitegemea waweke 120Hz refresh rate, waweke usb type c. Ila hawajaweka.
 
Siku nyingi sana nimewasoma maana hizi iPhone 12 ilibidi zitoke mapema ila corona imezichelewesha. Hawa iPhone wameyumba ila ndo hivo tiyari wana wateja wa kudumu
Hahahah hawa wanaendesha kampuni nje ya succession plan. Nadhani yale alioyoacha Jobs walisha execute sasa wanapambana kwa akili zao wao. Ndio maana simu inageuzwa geuzwa design na camera positioning na kuuzwa aghali na kondoo zinanunua kila mwaka.
 
Back
Top Bottom