Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Tunaweza sema Hello champion phone 😉 Apple inatarajia kuachia simu mpya ya iphone 17 series miezi mitatu mbeleni kuanzia sasa.
Toleo jipya la iphone 17 pro & 17 pro max itakuja ikiwa Muonekano mpya, kuanzia kwenye muundo wa Aluminum frame na titanium kwa upande wa 17 pro Max. Kuna Mabadiliko mengi kuanzia chipset mpya aina ya 19 bionic , betri imara, uwezo wa kurekodi video kwa ubora wa 8k, refresh rate 120Hz.
Feature mpya kwenye toleo jipya la Iphone 17 pro na 17 pro max ikiwa na mabadiliko 12 yafuatayo;
📲 Muundo wa aluminum + Glass body 👅
📷 Muundo mpya kwenye bodi ya kamera
💨 Muonekano mpya wa rangi aina "Sky blue" 💙 inayofanya simu kuwa na mvuto
🔋 Battery kubwa (Pro max)
🐈⬛ Processor ya Chipset A19 Pro Bionic chip
📶 Apple wamekuja na wifi 7 version kubwa zaidi
📸 Kamera ya Nyuma 48MP telephoto lens + 24MP kwa kamera ya mbele picha inayotoka ni super ✍️.
🎥 Inachukua video kwa ubora wa 8K sio poa
💥 Ina mfumo mpya wa vapour chamber Cooling inayopoozesha simu yako bila Muhusika kujua kama inapata Joto.
💡 Muundo wa kamera appel wameweza kubadilisha ila kwa nyuma inaonekana kama Google pixel ambapo bodi ya kamera iko kwenye mfumo wa Rectangle camera bump.