Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Soko la high end sasa Apple hana mpinzani . Ni IPhone 11 vs iPhone 12
Hata iphone sasa hivi wameathirika simu zinauza sana kwao ni SE na iphone 11 (zote ni chini ya Dola 700) hizo ni bei za midrange siku hizi. Zile za bei za juu kama pro na max haziuzi tena kama zamani.

Tumefikia AGe ambayo kwenye midrange mtu wa kawaida anapata kila kitu kuanzia display nzuri,perfomance na hata camera.
 
Yaani isheep wao apple akisema hiki hakitaki au hakiweki basi na wao wanasema apple hajaweka sio cha muhimu.

Isheep apple akiwaambia this time mpigwe mashine watatugawia sana makalio bure kwa sababu apple kasema.

Chochote atakachokisema apple wao wanakipokea kama kilivyo. Apple akisema 5G sio ya muhimu isheep wote wanakubali, kesho akisema ni muhimu wote wanakubali.

Hivi hizi simu mbona hawaweki battery capacity? Sioni RAM, sioni 120hz display.

Mwakani Apple ataongeza tu 120 display na RAM kidogo tu halafu atawapiga bei kondoo wake na wao wanachekelea.

Leo anawaambia hatoi charger kwa sababu ya kimazingira lakini anasema ukiihitaji unaweza kununua. Kwamba ukinunua seperate huharibu mazingira ila ikija na simu inaharibu mazingira na makondoo yanachekelea tu. Halafu watu kama hao wanawacheka waumini wa mzee wa upako au wa Gwajima.
hahahah hivi ishu ya chaja iko hivyo? Huu utopolo kwelikweli
 
mkuu unazungumziaje 5g bado ni gimick????

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ofcoz bado ni gimmick.

Nchi yenye coverage kubwa ya 5G ni S. Korea tu.

Hata huko US sehemu kubwa sana haina hiyo 5G.

Huku bongo inaweza chukua hata miaka mitatu kujwa kwa 5G.

Nadhani makampuni ya simu yanatoa simu za 5G kupata feedback ya performance kutokana na simu wanazozitengeneza.
 
nimemsikiliza marques brownlee anasema hivi pia.

kwamba uzuri wa iphones ni kwamba inaweza kaa kwenye chart 2-4 yrs,so unaweza nunua leo iphone 12 si kwa ajiri ya 5g,ila 5g ikaja kukukuta mbeleni huko.

so apple kapika utumbo kama wengine,ila kwake utumbo utakuwa mtamu sababu ana nazi tu,tofauti na wengine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ofcoz bado ni gimmick.

Nchi yenye coverage kubwa ya 5G ni S. Korea tu.

Hata huko US sehemu kubwa sana haina hiyo 5G.

Huku bongo inaweza chukua hata miaka mitatu kujwa kwa 5G.

Nadhani makampuni ya simu yanatoa simu za 5G kupata feedback ya performance kutokana na simu wanazozitengeneza.

Mkuu bongo 5G miaka 3 au 10? Kama 3G tu hadi Leo ni mtihani itaja kuwa 5G
 
Mkuu bongo 5G miaka 3 au 10? Kama 3G tu hadi Leo ni mtihani itaja kuwa 5G
Tulikuwa ni kati ya nchi za mwanzo kabisa kupata 4g Duniani na Smile.

Sema 5G sio speed tu ina mambo mengi sana na nahisi hapa kwetu bado watu wamelala hasa upande wa internet of things, hivyo itakuwa ngumu kwa isp kurudisha hela yake haraka.

Ila naona Voda wametangaza wapo kwenye Mazungumzo na Tcra kuleta 5g.
 
4G ya voda mikoani tu tatizo hivi hawa kwanini wasinalizane na uwekezaji wa uhakika wa ngazi moja kisha waende nyingine tofaut na kurukaruka tu
 
mkuu unazungumziaje 5g bado ni gimick????

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

5G bado haiko practical Kwa sasa duniani, yan coverage ya 5G ni issue lazima uweke device nyingi sana na ziwe karibu karibu, 5G inakuwa blocked easily hata ukikaa nyuma ya ukuta na device ipo karibu 5G inashindwa kufikia kiwango chenyewe cha 5G. Naipa more than 5 years ku mature . iPhone hawawezi kukwepa hili ingawa sijafuatilia nini hasa kimo kwenye 5G ya iPhone, maana Apple ni watu wanatumia akili sana na wako ki practical zaidi Ntaleta feedback .
 
Tulikuwa ni kati ya nchi za mwanzo kabisa kupata 4g Duniani na Smile.

Sema 5G sio speed tu ina mambo mengi sana na nahisi hapa kwetu bado watu wamelala hasa upande wa internet of things, hivyo itakuwa ngumu kwa isp kurudisha hela yake haraka.

Ila naona Voda wametangaza wapo kwenye Mazungumzo na Tcra kuleta 5g.
Kiongozi hivi kuna kampuni ya simu bongo inayotoa volte, je kama ni ipo hii inategemea tu isp au na device yenyewe? Manake nimekua nikiwaona rafiki zangu wakenya mara nying wakiscreen short kitu pale juu panasoma volte na pia normall calls zao zinakua na neno H. D mwishoni
 
Mkuu kwa ufupi simu niliyonayo inatosha. Mpaka naigeuza inakuwa modem, nagawa wifi, nataka Nini Cha zaidi
Hata mwenye vits anasema yani hili gari langu linanipa kila kitu anachopata mwenye discovery 4. Yani hadi lift ninagawa naigeuza kama Noah. Nitake nini cha zaidi? Lakini tunaelewa tu kuwa kuna gari na kuna usafiri.
 
True , amoled kapitwa siku nyingi sana.
hapa ndio huwa naona unayumba mkuu.

uliishasifia resoln 720p ya iphone kipindi cha nyuma,ukasema apple haoni haja ya kuweka resoln kubwa kwenye vioo vyake,leo hii wako 2532p utaisifia.

yaani kitu kinakuwa kibaya kisipotumiwa na apple,sio mahaba haya sasa ni jambo jingine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom