Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
apple hana marketshare kubwa unless unamaanisha USA, na mtu kununua simu used ama refurbished hakumuongezei hela apple wala kumuongezea marketshare sababu ile simu ilishauzwa na imeshahesabiwa, huwezi hesabu mara 2.Kifo cha huawei kilionekana mapema sana.
Kama inamlipa China ikubali kuachia Facebook, google, Whatsap n.k nchini kwake then aombe huawei atolewe vikwazo pamoja na huawei wenyewe kujirekebisha.
Apple anaua simu za mid range indirect, kivipi ? Chukulia mfano 6s na 7 na 7 plus, hizi ni simu za muda kidogo ingawa bado ziko powerful kuliko hata simu za kisasa, hizi simu zinauzwa kama used au refurb na ni affordable, Kwa njia hii watu wananunua iPhone kwa bei rahisi na hawa wanakuwa wateja wa Apple kwa njia moja ama nyingine. Huu mtindo unampa Apple market share kubwa sana ingawa kwa sasa inaweza isiwe official ila later italipa sana na kama unavyojua vifaa vya Apple vinadumu muda mrefu sana na software iko stable ukiongeza na updates basi kazi inakuwa imeisha
na xiaomi ameshagonga 11% bado asilimia moja tu kumpita Apple kimauzo, pengine mwakani akawa wa 3 ama 2 kimauzo zaidi duniani. na simu zake nyingi individually zinauza sana, mfano redmi note 8 imeuza zaidi kuliko iphone se miezi iliopita japo ni simu ya zamani.

