mimi nakushauri uwe unanisoma kwa utulivu.
au ili uelewe anzia kwa ninayemjibu,au vipi??
hakuna sehemu nimesema italingana na iphone 5,nimeandika ladha ya iphone 5 kwenye 12,itasikika zaidi kwenye 12 mini maana ni kasimu kadogo zaidi,ingawa itakuwa na glass nje.
12 mini siyo kasimu kadogo wala ladha yake haifanani na 5 . Ni vitu viwili tofauti tena kwa kila kitu. Jina mini lisikudanganye



