Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

5G sio about speed, na hata ukiipata hio speed kuna storage gani kwenye simu kuhandle multi GB kwenye simu kwa sekunde? ikikazana sana labda ni around 500MB/s. hivyo ukipata 1GB/s ama 10GB/s ama 5GB/s ni useless kwenye simu hakuna bandwidth ya kutosha kuhandle hio speed.

mtafute mtu yoyote anayecheza games, vitu kama multiplayer atakwambia umuhimu wa latency, gamers yoyote anaweza toa kirahisi hata 10,000 kwa mb 100 za 5g, utofauti wa latency kutoka around 30ms kwenye 4g hadi 1 au 2ms kwenye 5g ni mkubwa sana. same kwenye shughuli kama kuangalia mpira online inasaidia.

5g kwenye simu ni game changer kwenye latency zaidi kuliko speed.

Sasa unasema siyo about speed alafu unaongelea latency . Tafuta maana kwanza ya neno latency then rudi maana maelezo yako yanajipinga yenyewe
 
Kuna possibility kubwa ya Huawei kuacha kutengeneza simu mwakani kama Usa hataondoa vikwazo.
Huo uvumi nimeuona,
Chief R wao kasema kama vikwazo vitaondoka basi google apps kwenye hizi brands mpya zilizotoka ni kitendo cha sekunde.

I wish for it.
 
Huo uvumi nimeuona,
Chief R wao kasema kama vikwazo vitaondoka basi google apps kwenye hizi brands mpya zilizotoka ni kitendo cha sekunde.

I wish for it.
Mkuu ujue huko kwao hata playstore hawatumii, tayari wana store kubwa China, mfano My App ya Tencent ina Active users milioni 250 kwa mwezi.

Ngumu utengeneze store china Bila fb, snapchat, na apps nyengine za kimarekani halafu utegemee ipendwe west.

Kama unafuatilia utaona Netflix, spotify, epic games etc wanagombana sana na Google na Apple kuhusu charge wanayokatwa ya 30%.

Hebu imagine kampuni kama netflix, server zake mwenyewe, anatoa mabilioni ya hela kununua na kutengeneza movies na series kila kitu anafanya mwenyewe ila ikija kwenye mapato wanakatiana na Google ama Apple, Netflix anapata 70% na mwenye store 30%.

Baadhi ya makampuni haya yameenda hadi mahakamani kudai serikali iingilie kati. Ikitokea sasa hawa jamaa wakatengeneza store yao na kupunguza bei then wataweza kumchallenge Google kikamilifu.

Imagine store ambayo package ya netflix ya $10 unaipata $7 watu si watakimbilia huko, imagine watoe pubg, Fortinite na games nyengine Maarufu playstore waziweke huko kwenye store yao si itakuwa maarufu sana kwa muda mfupi?
 
SD card bado Ina umuhimu wake kumbuka video za iPhone unahitaji kurecord kwenye 4k ambapo video ya dk 1 ya 4k inaweza kuchukua storage mpaka 700MB+

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Kwenye 512GB tuseme umetumia 112GB kwa ajili ya masuala ya simu na kubakiwa 400GB, kwa hiyo frame rate ya 700MB+ unaweza kuchukua mpaka video ya footage from 50mins to 1hr and still useme bado micro sd card inahitajika, micro sd card gani kubwa yenye high speed frame rate ambayo inaweza kushindana na built in storage memory kuchukua video yenye 50mins to 1hr!?
 
True, Na kwa mtu aliye serious na video shooting au recording atanunua camera. Kama mtu anahitaji ku shoot 4k kwa muda mrefu tena mara kwa mara basi huyo yake camera simu haimfai hata kidogo. Simu ni mobile device huwezi kuwa serious na kazi za video recording au shooting ukategemea simu. Huyo mtu atakuwa anafanya utani
 
Mbona kama iPhone 5
Habari ndo hiyo
IMG-20201018-WA0001.jpg
 
Kwenye 512GB tuseme umetumia 112GB kwa ajili ya masuala ya simu na kubakiwa 400GB, kwa hiyo frame rate ya 700MB+ unaweza kuchukua mpaka video ya footage from 50mins to 1hr and still useme bado micro sd card inahitajika, micro sd card gani kubwa yenye high speed frame rate ambayo inaweza kushindana na built in storage memory kuchukua video yenye 50mins to 1hr!?

Uyo marioo ni mbishi sana shida ya kubishana na watu wa android ndo hio
 
Huu mtihani samsung ushamshinda kitambo ameona njia nyepesi ni kuwahadaa wateja wasio na maarifa kwa kuwawekea ram kubwa , 100x zoom camera megapixel 100+ . Yeye anacheza na namba tu zisomeke kubwa.

Imagine leo anatengeneza os yake , je developer wataipa uzito ? From last year mpaka sasa samsung kaingiza sokoni more than 40 models za simu, hizi zote developer atazifanyia kazi saa ngapi? Badala yake software inakuwa stretched au squeezed kulazimisha ku fit tu basi. Hili jambo samsung wanalijua ila wanawajua pia wateja wao
Anaweza ku-stick kutengeneza OS kwa ajili ya flagship zake tu na hizo zingine ziwe na android.
 
Hata iphone sasa hivi wameathirika simu zinauza sana kwao ni SE na iphone 11 (zote ni chini ya Dola 700) hizo ni bei za midrange siku hizi. Zile za bei za juu kama pro na max haziuzi tena kama zamani.

Tumefikia AGe ambayo kwenye midrange mtu wa kawaida anapata kila kitu kuanzia display nzuri,perfomance na hata camera.
iPhone wamejiposition kwenye high end market. Ila wakiweza kufanya mabadiliko wakainclude mid range market wakaimprove products zao technology wise wanaweza kutibua soko la Samsung na Huawei for good
 
iPhone wamejiposition kwenye high end market. Ila wakiweza kufanya mabadiliko wakainclude mid range market wakaimprove products zao technology wise wanaweza kutibua soko la Samsung na Huawei for good
Huawei is finished mkuu, kwa report za mauzo zilizopita real deal ni Xiaomi.

Na itakuwa Ngumu kwa Apple kupambana na Xiaomi kwenye midrange, hasa kwenye nchi zetu za kimasikini, maana hawa jamaa wanauza simu kwa cost price.
 
4G ya voda mikoani tu tatizo hivi hawa kwanini wasinalizane na uwekezaji wa uhakika wa ngazi moja kisha waende nyingine tofaut na kurukaruka tu
Teknolojia inakuwa kwa kasi sana. Inawalazimu kurukia next chapter hata Kama hawajamaliza hii waliyonayo sasa kwa sababu wakingojea wamalize ndo waingie kwenye hii mpya by the time they are done they will no longer be relevant in the market.
The faster you are to adapt the new tech the quicker you make your market share. And the money comes like rain too
 
Huawei is finished mkuu, kwa report za mauzo zilizopita real deal ni Xiaomi.

Na itakuwa Ngumu kwa Apple kupambana na Xiaomi kwenye midrange, hasa kwenye nchi zetu za kimasikini, maana hawa jamaa wanauza simu kwa cost price.

Kifo cha huawei kilionekana mapema sana.

Kama inamlipa China ikubali kuachia Facebook, google, Whatsap n.k nchini kwake then aombe huawei atolewe vikwazo pamoja na huawei wenyewe kujirekebisha.

Apple anaua simu za mid range indirect, kivipi ? Chukulia mfano 6s na 7 na 7 plus, hizi ni simu za muda kidogo ingawa bado ziko powerful kuliko hata simu za kisasa, hizi simu zinauzwa kama used au refurb na ni affordable, Kwa njia hii watu wananunua iPhone kwa bei rahisi na hawa wanakuwa wateja wa Apple kwa njia moja ama nyingine. Huu mtindo unampa Apple market share kubwa sana ingawa kwa sasa inaweza isiwe official ila later italipa sana na kama unavyojua vifaa vya Apple vinadumu muda mrefu sana na software iko stable ukiongeza na updates basi kazi inakuwa imeisha
 
Back
Top Bottom