mfano mzuri hio mate 40 inakuja na cortex A77, ina maana Huawei ameshindwa kupata Cortex A78 ama cortex X1 zitakazokuja kwenye Samsung na simu Nyengine za Snapdragon, ameshindwa kupata sababu Arm ni mshirika wa marekani.
hata Huawei akiwa na Os yake na kiwanda cha semi conductor, bila tech ya arm atatengeneza nini?
jeneza la Huawei lilifungwa pale Nvidia aliponunua Arm toka kwa softbank. sasa hivi watatumia stock yao ya soc zikiisha hawatengenezi tena simu, na si maneno yangu haya
Huawei: Smartphone chips running out under US sanctions