Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Kuna possibility kubwa kupata refurb ukinunua hapa kwetu ama chanell za kichina kama Aliexpress, Gearbest etc.

Ngumu kuijua simu refurbished mpaka uishike mkononi, ukiwa nayo mkononi unaweza angalia
1. Model yake kama ni simu ililokiwa na mitandao ya simu ya nje ama ni international version G960F ama G960F/DS ni international, zilizobakia sio za hapa kwetu. Na njia ya uhakika kujua model ya simu yako ni kuingia download mode.

2. Pia zipo apps nyingi zinazoangalia data za simu yako mfano ni mara ngapi headphone imechomekwa, mara ngapi charger imechomekwa etc mfano wa hizi apps ni kama samsung info. Hivyo mtu akikwambia brand new open box lakini ukicheki imeshakuwa charged mara 500 ujue hapo unapigwa mchana kweupe.
Mzee hii ukidownload tu inakueleza kua simu simu imechajiwa mara ngapi na imewekwa chaja mara ngapi? Je akuna apps kama hio kwa android zote, mfano xiaomi ili nijifunze hili kuepuka kupigwa
 
Mzee hii ukidownload tu inakueleza kua simu simu imechajiwa mara ngapi na imewekwa chaja mara ngapi? Je akuna apps kama hio kwa android zote, mfano xiaomi ili nijifunze hili kuepuka kupigwa
Xiaomi wana App yao inaitwa Mi verification kama sijakosea inakupa details muhimu.

Na mara nyingi simu za China hazina refurbished sana, hasa xiaomi sababu mitandao ya Simu hwauzi hizi simu kwa mikataba.
 
Xiaomi wana App yao inaitwa Mi verification kama sijakosea inakupa details muhimu.

Na mara nyingi simu za China hazina refurbished sana, hasa xiaomi sababu mitandao ya Simu hwauzi hizi simu kwa mikataba.
Naipata mi apps au google play store hii niitest
 
Hata iphone sasa hivi wameathirika simu zinauza sana kwao ni SE na iphone 11 (zote ni chini ya Dola 700) hizo ni bei za midrange siku hizi. Zile za bei za juu kama pro na max haziuzi tena kama zamani.

Tumefikia AGe ambayo kwenye midrange mtu wa kawaida anapata kila kitu kuanzia display nzuri,perfomance na hata camera.

Hata hii aliyotoa utaona kuna simu mbili zenye mauzo, iPhone 12 mini na iPhone 12 pro max, maana ukizichambua kulingana na specs huoni kwa nini ununue iPhone 12 badala ya iphiPhone 12 mini, na kwa nini ununue iPhone 12 pro badala ya iPhone 12 pro max, may be watu watafanya hivyo kwa ajili ya display na battery basi
 
Ofcoz bado ni gimmick.

Nchi yenye coverage kubwa ya 5G ni S. Korea tu.

Hata huko US sehemu kubwa sana haina hiyo 5G.

Huku bongo inaweza chukua hata miaka mitatu kujwa kwa 5G.

Nadhani makampuni ya simu yanatoa simu za 5G kupata feedback ya performance kutokana na simu wanazozitengeneza.

US ni zaidi ya 50% so sio gimmick, na ukichukulia simu za Apple hazichuji kwa mda mfupi, it’s a big deal
 
nimemsikiliza marques brownlee anasema hivi pia.

kwamba uzuri wa iphones ni kwamba inaweza kaa kwenye chart 2-4 yrs,so unaweza nunua leo iphone 12 si kwa ajiri ya 5g,ila 5g ikaja kukukuta mbeleni huko.

so apple kapika utumbo kama wengine,ila kwake utumbo utakuwa mtamu sababu ana nazi tu,tofauti na wengine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Back in day 2012 iPhone 5 ilitoka ina 4G ilihali sisi huku hata minara ya 3G ilikuwa haijaenea nchi nzima, lakini leo hata mtu anayetumia iPhone 5 ana capability ya kupata 4G
 
All the time apple wanazingua.

Kwasababu wanalinganishwa na smartphone zingine ambazo zimeshatoka.

Na ni mara nyingi apple wapo notorious sana kujaza features zote ambazo watu wametegemea ziwepo.

Mfano; binafsi nilitegemea waweke 120Hz refresh rate, waweke usb type c. Ila hawajaweka.

Labda mwaka kesho, Apple huwa hawakurupuki kuweka kitu kisa mtu fulani kaweka, ukumbuke high refresh rate ya display inabamiza sana chaji, kama imeathiri performance ya battery lazima wasiweke kwanza wajue jinsi ya kuoptimize
 
No one is perfect lakini kuna vitu lazima tuwe serious, Galaxy fold ni mfano mzuri sana wa junk. Iris scanner ni junk feature yaan mambo ni mengi. Lakini haiondoi ukweli kwamba samsung ni one of the best
Samsung kuwa the best lazima atengeneze OS yake ndo itamfanya apate chart sawa na apple.

Kudandia android hakumtofautishi na techno au infinix.

Hata one plus kampuni ndogo wanatoa vyuma kwa bei nzuri tu kuliko hao samsung.
 
US ni zaidi ya 50% so sio gimmick, na ukichukulia simu za Apple hazichuji kwa mda mfupi, it’s a big deal
US haijafika hata 30%. Imewekwa kwenye miji mikubwa nako ni baadhi ya maeneo na mji mzima.

Labda miaka mitatu ijayo.
 
Samsung kuwa the best lazima atengeneze OS yake ndo itamfanya apate chart sawa na apple.

Kudandia android hakumtofautishi na techno au infinix.

Hata one plus kampuni ndogo wanatoa vyuma kwa bei nzuri tu kuliko hao samsung.

Huu mtihani samsung ushamshinda kitambo ameona njia nyepesi ni kuwahadaa wateja wasio na maarifa kwa kuwawekea ram kubwa , 100x zoom camera megapixel 100+ . Yeye anacheza na namba tu zisomeke kubwa.

Imagine leo anatengeneza os yake , je developer wataipa uzito ? From last year mpaka sasa samsung kaingiza sokoni more than 40 models za simu, hizi zote developer atazifanyia kazi saa ngapi? Badala yake software inakuwa stretched au squeezed kulazimisha ku fit tu basi. Hili jambo samsung wanalijua ila wanawajua pia wateja wao
 
US haijafika hata 30%. Imewekwa kwenye miji mikubwa nako ni baadhi ya maeneo na mji mzima.

Labda miaka mitatu ijayo.

5G bado sana . Hata iliyowekwa hai click kwenye speed yenyewe ya 5G labda kutokee innovation mpya ya usambazaji wa 5G
 
5G bado sana . Hata iliyowekwa hai click kwenye speed yenyewe ya 5G labda kutokee innovation mpya ya usambazaji wa 5G
5G sio about speed, na hata ukiipata hio speed kuna storage gani kwenye simu kuhandle multi GB kwenye simu kwa sekunde? ikikazana sana labda ni around 500MB/s. hivyo ukipata 1GB/s ama 10GB/s ama 5GB/s ni useless kwenye simu hakuna bandwidth ya kutosha kuhandle hio speed.

mtafute mtu yoyote anayecheza games, vitu kama multiplayer atakwambia umuhimu wa latency, gamers yoyote anaweza toa kirahisi hata 10,000 kwa mb 100 za 5g, utofauti wa latency kutoka around 30ms kwenye 4g hadi 1 au 2ms kwenye 5g ni mkubwa sana. same kwenye shughuli kama kuangalia mpira online inasaidia.

5g kwenye simu ni game changer kwenye latency zaidi kuliko speed.
 
Back
Top Bottom