Anna Kilango atiwa mbaroni kwa tuhuma za kutoa rushwa

Watanyooka tu wakt mnaambiwa rushwà ni tatizo la mfumo mlikuwa mnakataa ukiwa ccm lazma ufanane nao tu
 
Mama Anna Malecela nimjuavyo hawezi toa rushwa.ieleweke yeye ni Mke wa Mzee Malecela na wote tunajuwa yaliyompata huyu mzee miaka ya nyuma huko Dom.Mzee ni muadilifu ingawa wenzake walisema kabadili dini na kuwa ISLAM ili apewe misaada kutoka arabuni endapo atapasua urais,kwa uadilifu wake Mzee hakutetereka na akaendelea kuwa mtiifu...hivyo basi mke lazima atakuwa anafuata nyayo za Mzee na hataweza kutoa rushwa.RESPECT KWA HUYU MAMA TAFADHALINI
 
Takukuru ingekuwa na meno ya kutosha. Hawa watoa rushwa wote wangeshaozea jela.
 
Mama Anna Malecela nimjuavyo hawezi toa rushwa.ieleweke yeye ni Mke wa Mzee Malecela na wote tunajuwa yaliyompata huyu mzee miaka ya nyuma huko Dom.Mzee ni muadilifu ingawa wenzake walisema kabadili dini na kuwa ISLAM ili apewe misaada kutoka arabuni endapo atapasua urais,kwa uadilifu wake Mzee hakutetereka na akaendelea kuwa mtiifu...hivyo basi mke lazima atakuwa anafuata nyayo za Mzee na hataweza kutoa rushwa.RESPECT KWA HUYU MAMA TAFADHALINI
Aliye na desturi ya kuomba rushwa pia hakosi kutoa rushwa; au anayehongwa uhonga
 
Back
Top Bottom