Anna Kilango atiwa mbaroni kwa tuhuma za kutoa rushwa

Yan hichi ndiyo tunawaambia watoa povu kwamba Ufisadi ni mfumo unaoendesha ccm! Eti oooh Lowasa fisadi, bila kumbana na moto mnahangaika na moshi!!!! mtakula mbegu mwaka huu.
 
kama vile samaki hasivyoweza kuishi nje ya maji,

vile vile RUSHWA hisivyoweza kutoka ndani ya chama cha mapinduzi,
 
Safari hii huyo mama ajiandae kwenda kulima,alizoea kuishi bure na kutafuna pesa za walipakodi bila huruma hilo jimbo Chadema wanalichukua saa nne asubuhi.
 
Mwenye ule waraka wa Kakobe atuwekee hapa please tufanye rejea
 
hawa watu wapumbavu sana,utaendaje kutoa rushwa wrewe mwenyewe personal,like an idiot?.
sijui kwanini hawamwigi lowasa,kama unataka kutoa rushwa tumia wapambe daaaamn....

Mkuu naona unatoa darsa namna ya kufisadi..
 
Back
Top Bottom