Tuhuma za Rushwa: Tundu Lissu awasilisha Ushahidi wake kwa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mbowe kutoa tamko

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atalitolea tamko pamoja na mambo mengine

Source: Mwananchi
Hii issue inatakiwa ifanyiwe kazi kwa namna ambayo haitaacha mashaka kwa upande wowote, ushahidi ufanyiwe kazi ukionekana una mashiko wahusika wachukuliwe hatua na chama ikibidi hata na taasisi husika.

Lakini kama ushahidi hautakuwa na mashiko, Lissu akubaliane na hali halisi japo napata shaka hili kutokea kwasababu Lissu kitaaluma ni mwanasheria tena mbobevu, hivyo anajua viashiria vya rushwa ni vipi.

Mbowe kazi anayo kama mwenyekiti kusimamia hili lipite salama bila kuacha makovu chamani kwao.
 
Halafu we jamaa uwage na akili

Chadema hawa waliokuwa wananunuliwa kama karanga na Polepole tena anawatangazia kabisa dirisha la usajili Ndio Tundu Antipas Lisu awazushie? 🐼
 
Eti SACCOS ya kichaga! huko kwenye rangi ya kijani mambo yake mbona hayaongelei ya CAG? Nayo SACCOS ya wapi? Mbona anapata shida sana ya kutibu kidonda Cha kidoleni Cha jirani alhali yeye Kiko shingoni? Sasa hv ukimwambia mtu mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa anauliza kuna hela? Ni nani kaanzisha utamaduni huu wa kuuliza kama kuna hela wakati wa uchaguzi na umeanza kwenye chaguzi zipi? Na watu wa taifa lipi na wakati wa vyama vingapi? Chadema ilikuwapo? Mwalimu wa swala hili aliyejengesha watz lugha hz ni wagombea kupitia.........! Yangu enzi za mwl nanihii chadema haikuwapo na wanafunzi wamekuwa wabaya kuliko walimu wa bao la mkono. Huyo anayeshambulia Chadema Kwa swala la pesa atibu kwanza huko aliko au arejee hotuba ya mwl Nyerere aliyoitoa Mbeya kwenye sikukuu ya wafanyakazi halafu atujibu kama mwl alikuwa abawaambia CHADEMA! Aiache Chadema ijipambanie yenyewe.
utateseka sana utajipatie bure magonjwa ya moy

Back
Top Bottom