hatari sana. Najua matatizo ya covid, I was a victim in February, it was terrible. Sitaki kusikia.....Ndiyo Mkuu.
hatari sana. Najua matatizo ya covid, I was a victim in February, it was terrible. Sitaki kusikia.....Ndiyo Mkuu.
Mkuu Mungu hufanya kazi kupitia wanadamu. Lolote lile lililobarikiwa Duniani hata mbinguni pia limebarikiwa. Halikadhalika na kinyume chake.Umeongea vema sana mkuu!
Lakini, unatumia vipimo vipi kuwajua wenye haki na wasio haki na wakati hata wewe hapo navyojua hauna hiyo haki, kwa kuwa duniani hakuna mwenye haki isipokuwa ni Mungu pekee?
Rafiki wa kudumu nipe ramani kwa Dar ni wapi naweza kupata chanjo ya Corona.Hata mafao hujayafaidi, RIP madam Anna
hatari sana. Najua matatizo ya covid, I was a victim in February, it was terrible. Sitaki kusikia.....
Itakuwa Delta Force 1 imesepa naeKuna rafiki yangu ametoka kuzika ndugu yake Machame, ananiambia KCMC hali ni mbaya sana, na Mount Meru Arusha ndio mbaya zaidi. Sasa sijui kama mama kachukuliwa na mdudu lakini hii Covid version Delta ni noma, tuchukue tahadhari
Na siku wakikiweza wataweka sheria ngumu sana za kimaabara na kuacha kufanya michezo na virusi! Itakuwa fundisho kwa wote wanaopenda kuwajaribia wenzao virusi vya kishenziPole sana Mkuu. COVID-19 ni hatari sana labda chanjo zitasaidia kuumaliza au kuupunguza sana vinginevyo uchumi wa dunia utakuwa katika kipindi kigumu sana mpaka hapo kirus hiki kitakapiweza kuwa eradicated duniani.
Rafiki omba kazi ya ushamba boy au house boy kwa staff wa UN utapata chanjo kama mwana familia katika clinic yao Masaki.Rafiki wa kudumu nipe ramani kwa Dar ni wapi naweza kupata chanjo ya Corona.
Nilikumiss sana, karibu back kakaNa siku wakikiweza wataweka sheria ngumu sana za kimaabara na kuacha kufanya michezo na virusi! Itakuwa fundisho kwa wote wanaopenda kuwajaribia wenzao virusi vya kishenzi
Hayatakusikia,mtu mweusi ni Kima aliechangamka!Badala ya kuchukulia huu ujumbe wako very serious na kukushukuru kwa ujumbe wako huu na waanze kujikinga seriously na kutafuta chanjo ya Corona, ni yanakomaa kusema R.I.P na kulilia mtu ambae tayari ameshafariki badala ya kujililia wao waliobaki hai🐒🐒🐒Zaidi ya wiki moja iliyopita alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Nkoaranga kwa tatizo la kupumua ambapo baadaye hali yake kuwa mbaya alihamishiwa hospitali ya Mount Meru
Asante mama much loves!Nilikumiss sana, karibu back kaka
Rafiki wa kudumu kama naishi kwenye nchi ya namna hii ni heri tu nchi hii ifutwe kwenye ramani ya dunia.Halafu anaibuka Panya fulani anasema kuwa mzalendo kwa nchi yako!WTF!!!Rafiki omba kazi ya ushamba boy au house boy kwa staff wa UN utapata chanjo kama mwana familia katika clinic yao Masaki.
Nice to see you backNa siku wakikiweza wataweka sheria ngumu sana za kimaabara na kuacha kufanya michezo na virusi! Itakuwa fundisho kwa wote wanaopenda kuwajaribia wenzao virusi vya kishenzi
Kuwa serious kujikinga hata kama si corona imemuua.Ni nini kimemuua?Tunapaswa kujua hili ili kama ni Corona watu wawe serious zaidi katika kujikinga.