anna mghwira

Anna Elisha Mghwira (born 23 January 1959) is a Tanzanian politician, former chair of the Alliance for Change and Transparency (ACT), the youngest political party in Tanzania. She was educated in the United Kingdom at the University of Essex and the University of Dar es Salaam as well as Tumaini University.
In 2015,she was the sole female candidate to contest for the presidential seat in Tanzania's general election in October 2015.
She was recently appointed to be Regional Commissioner of Kilimanjaro by the President of United Republic of Tanzania, Honorable John Pombe Magufuli.
May 2021, Anna Mghwira was announced as retired from her position of RC for Kilimanjaro region, while her position being taken by Hon. Steven Kagaigai. This has happened few months after a new leadership of the new Tanzanian president Hon. Samia Suluhu Hassan who took the leadership after the death of her predecessor , Dr. John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Suphian Juma

    Anna Mghwira; Siasa safi, mama mwema anayeishi

    ANNA MGHWIRA, SIASA SAFI, MAMA MWEMA ANAYEISHI. Ukiachana na Televisions kadhaa ambazo nilizowahi kufanya nazo kazi, mitandao ya kijamii imenisaidia kwa asiliamia zaidi ya 90 kunikutanisha na watu maarufu, na muhimu katika Taifa letu. Kwangu mimi Suphian, Mitandao ya kijamii ni Ofisi kama Ofisi...
  2. Replica

    TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Aliyekuwa mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amefariki dunia leo July 22, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha. Mama Mgwira alistaafu ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mei mwaka huu na alikabidhi ofisi kwa mrithi wake, Kigaigai Mei 27 mwaka huu wa 2021 Anna...
  3. S

    RC Adam Malima, kuwa kama Anna Mghwira na sio kama Martin Shigela

    Mh. Adam Malima nakupa hongera kwa majukumu ya siku hata siku nikiamini kwamba ushakaribia Tanga na umeanza majukumu yako. Ninakuasa uwe kama Mh. Anna Mgwira au zaidi yake kwa kutenda haki na kukaripia viongozi wasio kua na utu wala uadilifu kama Sabaya. Mh Mgwira alikemea hadharani vitendo...
  4. Erythrocyte

    KCMC yakanusha kuua mgonjwa kizembe, yadai aliletwa akiwa tayari kishakufa

    Ushahidi huu hapa Natoa pole kwa Wafiwa . zaidi soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mama-anna-mghwira-usiongee-sana-peleka-vielelezo-juu-ya-kifo-cha-mama-yake-hoyce-temu.1872308/...
  5. comte

    Anna Elisha Mghwira, asante kwa utumishi wako katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa

    Leo nimepata bahati ya kutembelea akaunti ya Facebook ya Mh. Anna Elisha Mghwira Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyestaafu na kubaini maono yake na kazi kubwa aliyoifanya- ASANTE NUKUU Bibi Maria amenitembelea ofisini na kueleza jambo lake. Licha ya changamoto zake nyingi, bibi bado ni mcheshi na...
  6. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Ninaikumbuka vema kauli ya mama Salma Kikwete kuwa nanukuu: " Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako." Leo watoto wa wenzetu wameingia tatizo la kukosa mikopo ya elimu ya juu; tuwasaidie kama watoto wetu. Ninapenda kuwaomba akina mama wote nikianza na Mhe mama Salma Kikwete aliyeasisi usemi na hatua...
  7. Anna Mghwira

    Nimehudhuria mkutano wa ukanda kuhusu mkataba wa EPA, Tanzania tumeonesha njia

    Leo wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wameamua kwa pamoja kusitisha kuweka sahihi mkataba wa EPA hadi Januari mwakani. Awali, Kenya na Rwanda walikuwa wamekwisha weka sahihi mikataba hii. Uamuzi huu unaziweka nchi za ukanda huu katika nafasi salama ya kutafakari na kupima faida na...
Back
Top Bottom