TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Umeongea vema sana mkuu!

Lakini, unatumia vipimo vipi kuwajua wenye haki na wasio haki na wakati hata wewe hapo navyojua hauna hiyo haki, kwa kuwa duniani hakuna mwenye haki isipokuwa ni Mungu pekee?
Mkuu Mungu hufanya kazi kupitia wanadamu. Lolote lile lililobarikiwa Duniani hata mbinguni pia limebarikiwa. Halikadhalika na kinyume chake.
 
Pole sana Mkuu. COVID-19 ni hatari sana labda chanjo zitasaidia kuumaliza au kuupunguza sana vinginevyo uchumi wa dunia utakuwa katika kipindi kigumu sana mpaka hapo kirus hiki kitakapoweza kuwa eradicated duniani.
hatari sana. Najua matatizo ya covid, I was a victim in February, it was terrible. Sitaki kusikia.....
 
Kuna rafiki yangu ametoka kuzika ndugu yake Machame, ananiambia KCMC hali ni mbaya sana, na Mount Meru Arusha ndio mbaya zaidi. Sasa sijui kama mama kachukuliwa na mdudu lakini hii Covid version Delta ni noma, tuchukue tahadhari
Itakuwa Delta Force 1 imesepa nae
 
Pole sana Mkuu. COVID-19 ni hatari sana labda chanjo zitasaidia kuumaliza au kuupunguza sana vinginevyo uchumi wa dunia utakuwa katika kipindi kigumu sana mpaka hapo kirus hiki kitakapiweza kuwa eradicated duniani.
Na siku wakikiweza wataweka sheria ngumu sana za kimaabara na kuacha kufanya michezo na virusi! Itakuwa fundisho kwa wote wanaopenda kuwajaribia wenzao virusi vya kishenzi
 
Zaidi ya wiki moja iliyopita alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Nkoaranga kwa tatizo la kupumua ambapo baadaye hali yake kuwa mbaya alihamishiwa hospitali ya Mount Meru
Hayatakusikia,mtu mweusi ni Kima aliechangamka!Badala ya kuchukulia huu ujumbe wako very serious na kukushukuru kwa ujumbe wako huu na waanze kujikinga seriously na kutafuta chanjo ya Corona, ni yanakomaa kusema R.I.P na kulilia mtu ambae tayari ameshafariki badala ya kujililia wao waliobaki hai🐒🐒🐒
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom