TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Jaman mbona mapema mno alikuwa na shida gan. R.I.P
Zaidi ya wiki moja iliyopita alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Nkoaranga kwa tatizo la kupumua ambapo baadaye hali yake kuwa mbaya alihamishiwa hospitali ya Mount Meru
 
Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi nazo hujaa taabu(Ayubu 14:1)

Apumzike kwa amani.
 
Kifo cha mwenye haki kinahuzunisha sana. Huyu mama amewapa funzo wanasiasa wa hii nchi. R.I.P Anna Mgwira
 
Kuna rafiki yangu ametoka kuzika ndugu yake Machame, ananiambia KCMC hali ni mbaya sana, na Mount Meru Arusha ndio mbaya zaidi. Sasa sijui kama mama kachukuliwa na mdudu lakini hii Covid version Delta ni noma, tuchukue tahadhari
Masikini, nakumbuka phase one alipata maambukizi na akasema wazi. RIP mama
 
Kifo cha mwenye haki kinahuzunisha sana. Huyu mama amewapa funzo wanasiasa wa hii nchi. R.I.P Anna Mgwira
Umeongea vema sana mkuu!

Lakini, unatumia vipimo vipi kuwajua wenye haki na wasio haki na wakati hata wewe hapo navyojua hauna hiyo haki, kwa kuwa duniani hakuna mwenye haki isipokuwa ni Mungu pekee?
 
Sad news. Mama Anna Nghwira-EX RC KLM amefariki katika Hospitali ya Mount Meru leo majira ya saa 5asb alilazwa hapo akitibiwa kwa takribani wiki moja.
Real Sad!
Confirmed, 2 days in oxygen support Mt. Meru hosp. Leo amefariki... C19 is real,
3rd delta wave ni balaa kweli kweli....

IMG-20210722-WA0069.jpg
 
Aaaah sad
Aiseee maisha ni safari fupi Sana
Tufanye mema wadau tuache kumbukumbu nzuri,ubabe,ujuaji,roho mbaya,choyo ni za muda mfupi tu

Anyway
R.I.P mama Mghwira
 
Back
Top Bottom