Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
Usifanye juhudi za kijinga za kuwatoa watu kwenye mada husika...kama unaona kuna hilo hitaji unaweza tu kulianzishia mada
Kamanda huo nakupa ushauri wa bure. Agenda yenu kubwa bado ni ukuta na kwa mujibu wa Mwenyekiti maandamano yenu ni 01/10. Sasa Mwenyekiti naye kwa sasa anagombana na baba mwenye nyumba. Ndio maana ushauri wa huu ni muhimu sana kwenu, tunzeni nguvu ili msije pata kisingizio cha kuahirisha tena. Magufuli yuko kazini na nchi inaenda inavyotakiwa.
