Anguko sasa ni dhahiri

Anguko sasa ni dhahiri

Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Hakika umenena
 
Lakini binadamu wanafiki sana:

Huku bara Kubenea alitoa Tamko akiwataka wabunge wa UKAWA kutokushirikiana na wale wa CCM na hata wenye uhusiano wa kimapenzi wauvunje, watu humu walimpongeza sana lakini leo hii ndiyo wanajitia kulaani kauli zenye kuashiria utengano.

Magufuli naye apongezwe pia kwa kutokuwa mnafiki.
wewe na wew Mtoto akiongea ujinga na baba naye aige sio? nani mkubwa hapo nani anayepaswa kumfunza mwenzake ni baba ama ni Mtoto? nani wakukemea ubaguzi wa kikabila kinchi, kivyama ni baba ama ni Mtoto? Nani anayepaswa kuunganisha watu wake wawe wamoja katika familia yenye kuwa na upendo ni baba ama ni Mtoto? Shame on you.
 
Yaan nimeshutuka sn.Nikafikiri kuna anguko la chama au anguko la kiongozi,kumbe ni fikira zako na ndoto ndo unaleta hapa.Pole sn ndoto si mahala pake hapa.
Kweli hii nchi ina safari ndefu
 
Kiukweli huyu mheshimiwa ni mchapakazi ila anakosa HEKIMA ya kiuongozi, anaropoka MNO. Ni mkatoliki huyu tena mhudhuriaji mzuri sana wa ibada, sasa sijui anatumia maandiko yapi huko kanisani yanayofundisha VISASI na KUTOKUSAMEHE! Suleiman hakuwa mpumbavu kumuomba Mungu HEKIMA kabla ya kitu chochote mara tu baada ya kupata ufalme. Ni huyu huyu anayesema eti "Tumuombee" kila siku. Kama anaamini Mungu aanze basi kwanza kuyaishi yale yaliyo katika vitabu anavyoamini kabla hajaombewa.
 
Kuna maneno ya siri yule TB Joshua alimwambia jamaa 'yangu' fulani kuhusu utabiri fulani ambao sio busara kuusema kwa sababu sometimes kauli huumba! .

Naweka kumbukumbu ya bandiko hili, siku ya siku nitakukumbusha na kukueleza TB Joshua alitabiri nini! .

Pasco
Pasco tuonjeshe kidogo, ili tuishi kwa matumaini Kuwa mtumishi wa bwana alitabiri, ili sisi tulio wa bwana tuendelee kuomba unabii upate kutimia haraka
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Maneno kuntu, tupe rejeo
 
Haya mama nimekupisha.
Spelling errors tu.
Lakini Division Five haiondoi busara ya maneno ninayosema.
Usiangukie katika lile shimo la kudhani Division Five hawezi kujua jambo au kuwa na busara zaidi ya Prof.
Wewe unamtukana matusi na kumkosoa Magufuli (PhD).
Nawe atakujibu pisha hapa huna elimu....
Kwa mtizamo wako huu ni nani atakuwa na kiwango cha elimu kinachostahili kumkosoa au kumshauri Magufuli???
Jirekebishe tena jirekebishe sana.
Hapa unaandika sio unasema.
Eti busara ya maneno ninayosema.
Tofautisha kati ya kuandika na kusema.
Wewe ni zao la BRN.
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Kwa taarifa yako Rais Magufuli atamaliza kwa mafanikio makubwa sana kuliko unavyofikri wewe.
Mlizoea dhaifu, sasa ni action man on game pamoja na kauli tata.
 
Hivi tunajadili hoja au mtu? Kwanini udhani ni yeye na si mwingine yeyote?
1472972700707.jpg
punguza kasi kisha tafakari...!
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Sagacious
 
Hilo ndilo taifa la visasi,hata kama mtu ameua familia yako yakupasa umtendee ayapendayo yeye!!je ni kweli aliyofanyiwa mwenye haki yampasa tena kumnyenyekea mwenye zambi?mwizi yule?kweni katiba inasema nn juu ya haki? Kweni dinari zile ni zake au za wananchi?na hakika kwa visasi hivi ameshindwa.
 
Back
Top Bottom