Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 833
sinauhakika na unakoishi huenda kweli umeme sio wa uhakika,but trust me tokea prof Muhongo apewe wizara,huku kwetu umeme unanguvu na haukatikiti katikik kama zamani.ndio akili ya waafrika wengi,hupata furaha pale mwenzao anaposhindwa na pengine kabisa waga wanatumia nguvu na akili nyingi iliashindwe then wanarudi kusema,ooo si tuliwaambia atashindwa? let us be objective.
Ninapoandika uzi huu, niko ofisini hapa mitaa ya Morocco. Umeme hakuna tangu asubuhi. Hata ijumaa ilikuwa hivi hivi.