Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,326
- 7,522
Haya powiche khovolongwa nava policcm vanyibate enamba yango ya khemobiteli eye apa andekha.Hii mada haistahili kuleta hamasa za kisiasa.
Muachie mkuu Mshana aendeleze mada yake.
Na katika post zote nilizoweka kwenye uzi huu hakuna mahali nimemtetea mwanasiasa yeyote.
Kwa upande wa barabara ni aibu sana kuwa na barabara kama zile kwa nchi kama yetu hii.
Hebu fikiria maendeleo ya uzalishaji na kiuchumi kama barabara hii ingekuwa nzuri
075486984