Anguko sasa ni dhahiri

Anguko sasa ni dhahiri

Huyu jamaa nina wasiwasi kama ibada huwa anafanya,kama anafanya basi tuzidi kumuombea Mungu amvute karibu yake zaidi ampe hekima na busara japo kiduchu tu.

nadhan jitahidi kumuombea. kwa maneno aya makali sidhan km na wewe hukuombea
 
Is like utabiri kim jon un, kutolewa madarakani. Hizi ni ndoto.
Don't dream during the day.

Kila dik . Hutolewa na foreign forces tu, tena kwa maslahi yao. Humu ndani hamumuwezi.
Kafanyeni kazi, mlale.

Demokrasi ni pamoja na kuchagua kiongozi diketa ama asiye dikteta kwa kupenda na uhuru. We practiced such democracy last year.

The road to hell is paved with good intentions.

Huyu unayempigia debe knows exactly that he's a coincidental president.. very few of you fools voted for him. Therefore he's afraid of his own shadow living apprehensively of his fate because he knows that people loved his opponent.

Fungua macho wewe utoke kwenye usingizi, nchi inakokwenda si kuzuri......
 
Asante kwa ufafanuzi uliojaa elimu hivi wanafunzi wakifanya vibaya jamii inapeleka lawama kwa nani? Kwa wanafunzi? Walimu? Au shule?
Mwanafunzi kufanya vibaya kitaaluma lawama ni walimu. Tabia mbaya ya mwanafunzi chanzo chake hasa ni wazazi na jamii kwa ujumla. Na tabia mbaya ya mwanafunzi huchangia kufanya vibaya kitaaluma.
 
Vijana wa mishen town wanamlaumu sana JPM na kumuombea mabaya sababu kararua mirija.
 
Hizi ngonjera ni vyema angeimbiwa Seif siku aliyokataa mkono wa Shein sababu ile ilikuwa kuutangazia umma kuwa ana chuki isiyo elezeka.

Cha kushangaza ni kuwa wale wale waliompongeza Seif kuwa siyo mnafiki ndiyo wanalialia baada ya hii count attack.

Mwisho wa siku dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake ni vyema Magufuli naye apongezwe kwa kutokuwa mnafiki kama alivyopongezwa Seif.

Wahenga walisema boss hanuniwi.

Tzs 7,000/- @ day at work.
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.

Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.

Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.

Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.

Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?

- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Jiandae kuitwa mchochezi maana siku hizi umekuwa
 
duh wewe uko nchi gani????? wapinzani wa wapi wametoa hotuba kt awamu hii au ndo ushabiki mandazi
Hotuba ya mwisho ya Seif uliisikilizaaaaa ? Au ndio ushabiki maandaz wenyewe. Lazima tuwe wakweli hata kama tu wapinzani.
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.

Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.

Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.

Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.

Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?

- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
kweli ngoma ya Upinzani imevuma sana kipindi cha JK sasa imepasuka pwaa....
 
kwa taarifa yako inchi inaendelea kunyooshwa ili kufikia maendeleo,porojo,kubebembelezwa peleka kibarazani.Hizo ramri utazipiga sana,mbaya zaidi huna hata uwezo wa kuzidhibiti tamaa zako mwen
haya ndiyo madhara ya kushindia chips harafu uko mwanaume,lazima akili idumae tu.

Nchi inaendelea kudidimizwa kwa ndoto za kiranja, anaota kuleta viwanda wakati umeme hana. Anashindwa kuwa na maono ni nini kipaumbele kwenye zoezi hilo, hajiulizi kwa nini umeme wa nyumbani na barabarani si wa uhakika, itakuwaje apate umeme wa viwanda??
 
Huyu jamaa nina wasiwasi kama ibada huwa anafanya,kama anafanya basi tuzidi kumuombea Mungu amvute karibu yake zaidi ampe hekima na busara japo kiduchu tu.
Maisha yote ya Yesu yalikuwa kukemea maovu kwa vitendo. Luka 14:27, 28, aliwaambia makutano "27:Mtu yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, si mwanafunzi wangu; 28:Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kumalizia ".

Je, mimi na wewe misalaba yetu tunaibeba au tunawabebesha wengine!
 
G20 watakuwa wanadizaini mbinu za kumchochea mwenye nyumba kwa kumpa nishani za uongozi bora na wengine wahamasishe ukuta ili nchi isitawalike.

Kuna katuni nimeona kwenye gazeti moja la Kenya (naogopa kuiweka hapa nisiitwe mchochezi).
 
Your example is irrelevant.

Hakuna cha mtoto wala Baba hapo wote wazima wanatakiwa wakemee viashilia vya ubaguzi na utengano.
haa haa mkuu umeshindwa kunielewa huyu wa Jana huko kada ya juu zaidi ni sawa na Headmaster na mwalimu wa zamu though siwezikupinga ni watu wazima ila Head ni mkuu naye kateleza mbayaa tuige mazuri kutoka kwa nani sasa
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.

Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.

Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.

Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.

Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?

- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi

Umesahau kuongezea msema ukweli ni kipenzi cha mungu. Mahubiri inategemea unamuhubiria nani kama ni mlokole hata kama ni point msikitini hawawezi kukuelewa kabisa.
Nyie hamuwezi lazimisha mtu msiyemkubari aseme mnachotaka kusikia. Maridhiano wakati kwa hiyari yenu mnaapa hamumtambui then itakuwa ngumu tofauti na SA.

Sasa Mshana na wenzako woga umewashika hamjui hata mnatetea nini wala nani, mabandiko yenu ya nyuma hamtaki hata kutazama mlitupia nini. Nyie ni watu mliopoteza sasa ombeni poo na hisani, mkikaza wenzenu ndio wanawakazia mara 10 mnabatizwa kwa moto sasa.
Badilisheni siasa zenu ziendane na wakati huu, nyie hamtaki kubadilika lakini mnalazimisha wengine wabadilike ingali nyie ndio loosers.
 
Mwanafunzi kufanya vibaya kitaaluma lawama ni walimu. Tabia mbaya ya mwanafunzi chanzo chake hasa ni wazazi na jamii kwa ujumla. Na tabia mbaya ya mwanafunzi huchangia kufanya vibaya kitaaluma.
But in general view conclusion ile shule ni mbaya na kama ni ya serikali mwalimu mkuu anabadilishwa.... .dhana ya anguko
 
Back
Top Bottom