Lakini wazi wazi kila mtu anaona hili bandiko lako linaegemea kwenye mtazamo wa chama kipi.Chama ni logo tu ndugu yangu
Sahihi kabisa na muogope sana mtu anayekwambia hana chama lakini siku zote unamuona kwenye jukwaa la siasa akichangia madaLakini wazi wazi kila mtu anaona hili bandiko lako linaegemea kwenye mtazamo wa chama kipi.
Lakini wewe binafsi umeshaji pambanua wewe ni mfuasi wa chama gani.
Na sikumbuki ni lini umeweka bandiko kwenye jukwaa la siasa lisilo egememea kwenye itikadi yoyote ya chama.
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi![]()
![]()
![]()
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Serious!!!??? No facts??No facts, hadithi za mihemko tu. Sijui inaongozwa na 'moyo' au 'ubongo'!!
Usihemke sasa! Usipate mzuka umeshaongea nimekusikia turudi kwenye mada husika sasa
Tatizo ni kwamba "viongozi" hatunao siku hizi. Tuna watawala tu...Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi..
Huko Ni kupatwa sasa, ila sijui Ni kupatwa kwa nini?.Hata church nimegoma kwenda
Daudi alimuangusha Goliati mwenye mapana Mara NNE yake pamoja na Jeshi lake kwa kutumia kombeo tuAnguko la Chama Dola? Hahahahah
Tunafikiri negativity tuu ,....tunalazimisha busara zifanywe na upande mmoja tu hii ni shidah?..Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi![]()
![]()
![]()
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Sema wallahi..!Mimi niliachana na ccm mwaka 1984