Maandishi yako hapa yanarahisishia watu kukuweka katika kundi tofauti na unalojiweka mwenyewe!Na uwezo huo wa kuamua hivyo unao wewe?
Maandishi yako hapa yanarahisishia watu kukuweka katika kundi tofauti na unalojiweka mwenyewe!Na uwezo huo wa kuamua hivyo unao wewe?
Umeandika mengi sana lakini hata sijui umeandika nini na hata nikikwambia nifafanulie ulichoandika utaishia kutoa macho kama si vijembeUmesahau kuongezea msema ukweli ni kipenzi cha mungu. Mahubiri inategemea unamuhubiria nani kama ni mlokole hata kama ni point msikitini hawawezi kukuelewa kabisa.
Nyie hamuwezi lazimisha mtu msiyemkubari aseme mnachotaka kusikia. Maridhiano wakati kwa hiyari yenu mnaapa hamumtambui then itakuwa ngumu tofauti na SA.
Sasa Mshana na wenzako woga umewashika hamjui hata mnatetea nini wala nani, mabandiko yenu ya nyuma hamtaki hata kutazama mlitupia nini. Nyie ni watu mliopoteza sasa ombeni poo na hisani, mkikaza wenzenu ndio wanawakazia mara 10 mnabatizwa kwa moto sasa.
Badilisheni siasa zenu ziendane na wakati huu, nyie hamtaki kubadilika lakini mnalazimisha wengine wabadilike ingali nyie ndio loosers.
Kama huwa ananipa mmeo sawa.
MshanaJr. Mimi nafikiri tunahitaji kiongozi ambaye ni malaika au wa Chadema/UKAWA ili malalamiko yaishe.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi![]()
![]()
![]()
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Mwaka jana wenzio walilipwa Tzs 10,000/- @ a day, look at how cheap and unwanted you're (wewe uliyepewa kibarua juzi juzi tu!
Your party is running short of funds for your information.
Dhana yako ya 'anguko' kinadharia kwa mfano wa mwl mkuu wa shule inaweza kuwa sahihi. Kiuhalisia kisiasa, vigezo ni vingi vya kuchunguza na kuchambua. Kimojawapo ni jinsi uongozi unavyopatikana, yaani ameingiaje madarakani!But in general view conclusion ile shule ni mbaya na kama ni ya serikali mwalimu mkuu anabadilishwa.... .dhana ya anguko
Maandishi yako hapa yanarahisishia watu kukuweka katika kundi tofauti na unalojiweka mwenyewe!
You're too low for me.
Do you know my party? Mada imekushinda umeanza kupiga ramli tu
Haya kamsalimie mmeo..
Wewe sio policcm kweli.Na Mimi nije? Hiyo profile kidogo ichomoe moyo wangu
Sasa tunaenda vizuri sana....ni nani anapata madaraka gani kwa vigezo gani na kwa sababu zipi? Na je anakuwa ameandaliwa au kakurupushwa tu na kupewa mikoba asiyoweza kuibeba?Dhana yako ya 'anguko' kinadharia kwa mfano wa mwl mkuu wa shule inaweza kuwa sahihi. Kiuhalisia kisiasa, vigezo ni vingi vya kuchunguza na kuchambua. Kimojawapo ni jinsi uongozi unavyopatikana, yaani ameingiaje madarakani!
Wanadai alikuwa "anamdesa" Mpoto.Tb Joshua alikuja Tanzania akashuka kwenyr ndege yenye thamani ya mabilioni akiwa peku.....kibiblia hii ni ishara mbaya kwa taifa,taifa litakumbwa na mambo fokiria rais unampokea mgeni kashuka kwenye ndege ya kisasa anakanyaga chini wakati unajua nyumbani kwake ana viatu pea kwa pea,na anatoa misaaada ya mamilioni kila Mwaka,
On top of that,anayetembea peku ni mtumishi wa mungu maarufu!!
Tazama....Mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgumu!!
Yaani wewe sijui nkuitajee...ngoja nkae kimyaaaaa by Martha MwaipajaUsipende kutuletea mawazo mgando na fikra zinazotokana na inferiority complex.
Kuna katuni nimeona kwenye gazeti moja la Kenya (naogopa kuiweka hapa nisiitwe mchochezi).
Sawa ila kwakuwa sijamtaja yoyote basi tuachane na ramli tubaki na mjadala na twende nao kwa nia ya kujengana kifikra...hebu angalia ninavyoenda na mwengeso tunapingana kwa hoja heshima na hekima bila kutunishiana misuli wala kuonyeshana umahiri wa mipashoMkuu....post ikitokelezea tuu..kwa ukurasa huu....automatically ni mjadala.... sijui unakwepaje...ingawa umetumia tasifida lakini....ukisoma unajua nani umemlenga....