Anguko sasa ni dhahiri

Anguko sasa ni dhahiri

Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Is like utabiri kim jon un, kutolewa madarakani. Hizi ni ndoto.
Don't dream during the day.

Kila dik . Hutolewa na foreign forces tu, tena kwa maslahi yao. Humu ndani hamumuwezi.
Kafanyeni kazi, mlale.

Demokrasi ni pamoja na kuchagua kiongozi diketa ama asiye dikteta kwa kupenda na uhuru. We practiced such democracy last year.

The road to hell is paved with good intentions.
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Ingawaje hukumtaja mlengwa, lakini kuna busara nyingi kwenye maneno haya ambayo baadhi nimeyaona kwenye vitabu vya dini pia.
Busara na hekima...
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Visasi vya watu kaskazini vitawatoa roho. JPM kaza uzi watanyoka tu!
 
Mimi wa Nyanda za juu kusini lakini huyu Dikteta Magufuli namchukia sana.
Natamani afe hata leo.
Chuki za namna hii hazijengi na zina madhara makubwa.
Jirekebishe...na urudie kusoma post ya Mshana jr.
Ina manufaa kwako pia na inakuhusu moja kwa moja.
 
"UKIONA WATU WANAKUCHEKEA UJUE UMEKOSEA MAHALA ILA UKIONA WATU WANAKUCHUKIA UJUE UKO SAWA KABISA"
 
Asante Mungu Mkuu, kwa kuwaacha Mashetani yajianeke waziwaz kwa matendo yao na kauli zao zilizo kosa Hekima yako, Kweli wewe ni Mungu Usiyedhihakiwa, Tunakuomba Uwendelee kumwaibisha Ibilisi ili kesho akijitambua Hakose Pa kuiweka sura yake na akose wakuzungumza nae
 
Back
Top Bottom