Umenichekesha hahaaa "kiona mbali"Mkuu ukisema wewe siwezi kubisha, najua suala hili umelifanyia Kazi usiku kucha,mshana Jr aka kiona mbali.
Mkuu unatufanya tukuamini kwa chochote unachokiandika maana wewe ni "kiona mbali"
Government and oppositions ...ni lazima wote wawe na busara katika issue kubwa za kitaifaUpande mmoja upi?
The stronger ones are the 0ne to lead n take positive actionsGovernment and oppositions ...ni lazima wote wawe na busara katika issue kubwa za kitaifa
Sio habari za kunyimana mikono,ukuta au habari za kutokujalibiwa na kutishana sie hatujazoea...
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi![]()
![]()
![]()
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
mtaongea sana kwenye hii awamu ilaa badae mtazoeaa tu nakuona ni kawaida tu
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Nimekuelewa hapa mtu ukiona ni sawa katika speech hizi ni lazima mfumo wako wa kufikiri utakua umeolewa ama umefungwa,hivyo hauna haki ya kufikiri na kuchambua jema na baya,,,nikipata mda nitatengeneza uzi kuonesha tofauti ya speech na mazingira yake,mfano kuna speech anatoa amiri jeshi mkuu nchi ikiwa hali tete kiusalama,ina misingi yake ili kumotivate wapambanaji,hakika ina maneno ya kuchochea uzalendo wa kuifia nchi, Je matukio yanayoendelea yanaendana na hotuba zinazotolewa na viongozi?Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi![]()
![]()
![]()
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
course meaning the path of travel(mkondo) not cause.Let the events take their course(cause? )but have ever thought about the outcomes?
Tuendelee