iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,934
Tb Joshua alikuja Tanzania akashuka kwenyr ndege yenye thamani ya mabilioni akiwa peku.....kibiblia hii ni ishara mbaya kwa taifa,taifa litakumbwa na mambo fokiria rais unampokea mgeni kashuka kwenye ndege ya kisasa anakanyaga chini wakati unajua nyumbani kwake ana viatu pea kwa pea,na anatoa misaaada ya mamilioni kila Mwaka,Kuna maneno ya siri yule TB Joshua alimwambia jamaa 'yangu' fulani kuhusu utabiri fulani ambao sio busara kuusema kwa sababu sometimes kauli huumba! .
Naweka kumbukumbu ya bandiko hili, siku ya siku nitakukumbusha na kukueleza TB Joshua alitabiri nini! .
Pasco
On top of that,anayetembea peku ni mtumishi wa mungu maarufu!!
Tazama....Mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgumu!!