aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,068
- 22,660
Hata sm 800 inaweza kuwa ndogo kulingana na unataka kujenga kitu ganiSM 150.
Wakati mimi naambiwa sm 400 ni ndogo.
Hata sm 800 inaweza kuwa ndogo kulingana na unataka kujenga kitu ganiSM 150.
Wakati mimi naambiwa sm 400 ni ndogo.
Kama ni Ushauri wa faraghaTatizo unapita katikati ya jiko ukitaka kupita mlango wa nyuma. Jikoni ni sehemu nyeti.
Ondoa hiyo dining ongeza ukubwa sebule kidogo weka open kitchen.
Ramani ya kipuuzi! Kwanni vyumba vya watoto hakuna vyoo vya ndani? Mimi Banda langu vyumba vya watoto nimewawekea masta bedroom.... public toilet ni kwajili ya wageni au Incase of anythingNdugu
Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo
Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter...
Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyoView attachment 3564803
Siku akifa? Mkuu mbona unamtisha mwenzioBila vipimo ni ngumu kukadiria
Tuseme kwa mchoro jinsi ulivyo tukadirie kila chumba kina m3×m3, sebule m5×m3, dining m4×m2.5, vyoo kila kimoja m2×m2.5, kitchen, kibaraza cha jikoni na store m5×m2.5
- Hapo unapata usable space jumla ya msq 73.5
(Hiyo ni usable space haijajumuisha corridor, upana wa kuta na veranda)
Tuje kwenye makadirio ya upana na urefu wa hiyo nyumba
- Hapo upana wa nyumba ni kama m10 na urefu ni m11 (m10×m11) = msq 121
(Kiwanja cha msq 72-81 hakitatosha kujenga hiyo nyumba ya ndoto yako)
Hautapata hata sehemu ya kupark gari, kabustani kakishikaji, watoto pa kucheza au pa kukaa watu siku ukifa
Shukrani sana mkuu.. vipi kwenye square meter 150 unaonaje kutakua na sehemu hata ya jumuia kusali?
Shukran hapo nshakupata mkuuMakadirio yetu upana na urefu wa nyumba ni sqm 121
Ukisema una kiwanja kina sqm 150 (sqm 150-sqm 121) zinabaki sqm 29 tu
Hapo kwenye hizo sqm 29 utoe vinjia vinavyozunguka nyumba yako unapopakana na majirani zako
Tuseme umetoa m 1.5 za vinjia pande zote nne za nyumba
Upana wa nyumba + vinjia=m10+(2×m1.5)= m13 Urefu wa nyumba + vinjia =m11+(2×m1.5)= m14
Kwa hiyo upana na urefu wa eneo la nyumba + vinjia kuzunguka nyumba itakuwa m13×m14=sqm 182
Kwa kiwanja cha sqm 150 utakuwa unadaiwa eneo la sqm 32
Hapo haujachimba shimo la choo
Open kitchen tena? Si unasema ni sehemu nyeti? Ikiwa open si ndio itakuwa wazi kwa kila mtu?Tatizo unapita katikati ya jiko ukitaka kupita mlango wa nyuma. Jikoni ni sehemu nyeti.
Ondoa hiyo dining ongeza ukubwa sebule kidogo weka open kitchen.
Tafuta picha za open kitchen utanielewaOpen kitchen tena? Si unasema ni sehemu nyeti? Ikiwa open si ndio itakuwa wazi kwa kila mtu?
Amandla...
Mimi ninavyojua open kitchen iko wazi, hamna ukuta kati ya secure na jiko. Open kitchen ilipata umaarufu kama njia ya kutowatenganisha walio jikoni ( mara nyingi wanawake)na wale waliosebuleni ( mara nyingi wanaume). Wanaopika wanaweza kushiriki katika mazungumzo yanayoendelea sebuleni na wale wa sebuleni wanaweza kushiriki katika mambo ya jikoni.Tafuta picha za open kitchen utanielewa
😆😆😆pa kukaa watu siku ukifa
Hii ni afadhali, unajengq, unapata parkin, na mabanda ya uwani unaweza kupata tuvyumb tuwili, tutatuSM 150.
Wakati mimi naambiwa sm 400 ni ndogo.
Nimecheka kwa sauti kuu... Hahahahahaha.Bila vipimo ni ngumu kukadiria
Tuseme kwa mchoro jinsi ulivyo tukadirie kila chumba kina m3×m3, sebule m5×m3, dining m4×m2.5, vyoo kila kimoja m2×m2.5, kitchen, kibaraza cha jikoni na store m5×m2.5
- Hapo unapata usable space jumla ya sqm 73.5
(Hiyo ni usable space haijajumuisha corridor, upana wa kuta na veranda)
Tuje kwenye makadirio ya upana na urefu wa hiyo nyumba
- Hapo upana wa nyumba ni kama m10 na urefu ni m11 (m10×m11) = sqm 121
(Kiwanja cha sqm 72-81 hakitatosha kujenga hiyo nyumba ya ndoto yako)
Hautapata hata sehemu ya kupark gari, kabustani kakishikaji, watoto pa kucheza au pa kukaa watu siku ukifa
Mkuu tafuta kiwanja kingine, sq m 150, kwa ramani hiyo kiwanja hakitoshi nyumba itabanana, utakosa hata pa kutemea mate, ramani ni nzuri.Ndugu
Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo
Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter...
Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyoView attachment 3564803
Fance tena mkuu kwa kiwanja cha m10 x 15!Hata kujenga fensi sidhani